kweli kabisa nilimuacha mtu alienipenda nikaenda kwa ninaempenda saizi nanyanyasika nalia kila siku
2026-04-28 18:43:05
138
Therealcaprinah✨🌸 :
Mungu nilipie kwa woote walioniumizaaa 😩💔🙌
2026-05-30 14:52:20
99
Tee✨🥰@ :
Najiungamanisha na haya maneno aki mungu anilipie tu basi ilo ndo ombi langu 🤲🥹
2026-04-28 18:39:14
144
chris_creative_ :
Mimi I have girl ambaye nilimpenda kwa moyo mmoja mpka kwetu waka mjua yaani yeye kila kitu ni kibaya amenidhalisha mbele ya rafiki zake na kuniabisha mbele ya marafiki zake lakini yeye hajali kuhusu Mimi na Mimi najali kuhusu yeye ila hajali kuhusu Mimi ila naamini IPO siku na hajawai kukosa kitu kwangu ila ulivyosema dada yangu IPO siku tyu
2026-05-29 07:29:54
16
miss black🖤👑 :
mungu kama unanisikia nijibie 😭😭😭🥰
2026-04-28 18:00:51
38
user4814166688236 :
Dada mm nimetendwa na rafiki yangu achaaaa nilijitoa sana Ila nilipo kwasasa nisehemu mbayaaaa
2026-04-28 17:50:36
56
ms-m.i.r a.🌍☺️ :
🥺Oscar Kalma itakutafuna
2026-04-28 21:11:53
5
manyikazaha :
dada angu mm nilimpenda mtu na Jina. ataja anaitwa safari ila niliishi nae uzuri na nilikua nina malengo nae ila Malipo yake anakujaniambia kwa sababu sijawahi kukupenda nisiwe muongo ila nikasema Asante tu
2026-05-27 04:49:22
5
tinamichael48 :
Yaan mathias Mungu akulipe mema nimekutendea nimekupa kazi kwa jasho langu leo umenitoa machozi umenidhalilisha kwa wema wangu wakukufanya upate kazi Mungu najua upo unaona😭😭
2026-04-29 08:08:01
23
pure heart👌 :
mm niliwapenda wengi ila wengi ndio hivyo tena,ama ni nyota imezimwa main switch
2026-04-29 10:29:45
9
salmitah :
Mungu shughulika na Yule aliyeniumiza kila anachoshika kianguke, akose Amani, furaha Amen
2026-05-06 17:18:29
6
MISS T🌸 :
huwezi kuongea point na nikunyime like♥️♥️
2026-05-31 07:32:53
14
Gemini Girl 🥰♊️ 🤭😉 :
Mungu wasamehe wale wote walio niumiza🙏🙏
2026-05-31 16:32:11
7
scoviss :
Namuomba mungu anisamehe man nimemuumiza mwanaume aliekua akinipenda na kunijali Ila nikamuacha bila sababu
2026-04-28 20:33:50
16
Milton Kalyembe :
Najiungamanisha na haya maneno
2026-04-28 20:46:19
9
🌸 🍒🧸linnah cherry 🧸🌸🍒 :
mungu naandika nikiwa na maumivu sana sijui nini cha kusema ila kama kuna sehemu mungu nimewah kuwakosea hawa watu bhcy naomb nipate adhabu ila kama hakuna bhcy waumie zaidi ya mimi nilivyo pata maumivu😭😭
2026-05-04 14:20:58
9
katuna :
ni kwel dada ni swala la muda tu acha nimuachie mungu yeye ndo mwenye kuhukumu
2026-04-28 20:00:37
8
Kichuna :
wallahi dada namuomba Allah anilipie yarabby walionisababishia maumivu wote
2026-04-28 20:14:45
9
winnie :
amen impige mume wangu apate zito na alienae☺️
2026-04-29 04:36:16
5
queen 👸 :
mungu ampe maumivuuu makali ya moyo makali kama aliyofanya yaan dah
2026-04-28 18:50:27
10
flower 🌺 licious :
dah ctak kuongea nisije nkaanza kulia kwa sauti🥺
2026-04-28 17:15:38
11
ayoub :
Asante sana mungu akubariki bora umesema ukweli kwakweli wameniumiza sana kwa uchawi mpaka sinahamu
2026-04-29 05:51:15
5
hiyanajuma ♍️ :
mungu kama kweli kuna karma basi nilipie kwa hili inshallah
2026-04-28 20:55:55
9
Dagaro123 :
Yaliyonikuta mimi siwez sahau ila nanuja Mungu atawashulikia tu
2026-04-28 18:44:54
6
Thamir :
asante dadangu umesema kweli wataumia sana
2026-04-28 15:20:31
9
To see more videos from user @officialvillatz, please go to the Tikwm
homepage.