@jwtz80: Kuruta wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kundi la Kujitolea Operesheni NISHATI SAFI Kikosi cha Oljoro JKT wakikimbia kwa mwendo wa kunyakuwa kwa Morali baada ya kufungua Mafunzo ya JKT mapema leo tarehe 27 Aprili, 2026.

Tanzania military
Tanzania military
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 10:11:39 GMT
281533
10281
141
331

Music

Download

Comments

nyalight01
Nyalight :
Bora usiimbe Up🙌
2026-04-28 18:45:02
44
user5341112327161
Ester 🌹🌹 :
pale sauti haitoki alafu afande yupo karibu yako😢😢😢😢😢
2026-05-12 09:39:42
22
george.kabitagi
George Kabitagi :
duuuuh mbiseee uyoooo😂😂😂😔
2026-06-06 05:32:22
1
userjane_d
Jane :
oljoro 2021😘😘
2026-06-06 21:13:33
1
v_ackson
VMD🗣️🗣️🧠 :
afand baraka noma
2026-04-29 07:21:17
9
kilabichalle
Kilabi :
Hiiii siku ctakuja kusahau maishani mwangu kamwe😁🙌
2026-04-28 19:13:50
21
cute.dee.0404
@itc deeh qy🦋...🙌👑 :
tunaoenda jumapili hapo tujuane.......🙌
2026-06-01 20:13:25
3
julie_babe47
Julie_babe :
oljoro moja hiyo nakumbuka sana jeshi langu la jkt mwaka 2024 833kj
2026-05-15 03:20:33
10
culate_8
culate_.🌸 :
Afande baraka🥰 mpeni hi sana afande eliud na mwamlima😂😂
2026-05-20 10:02:55
8
danny.basoro
Danny Basoro :
wanangu wa oljoro like nyingi ap
2026-06-07 11:46:05
5
anethmethodius
Anee Boss :
mwalimu wangu wa singe namkubaliii mkilaaaa
2026-04-29 12:14:44
5
revina338
🇹🇿REVINA🇹🇿@ :
jamani napenda jeshi
2026-05-24 23:28:47
1
frednoel_25
@Young Noel :
wale tunao enda follow me
2026-05-18 16:03:37
1
ford_boy23
chidy :
oljor 833kj iyo
2026-04-29 05:06:36
6
eng.mwafyijinja
Proverbs Hub 🐵 🤨 :
Kwani lazima!?
2026-05-31 11:06:51
1
user6333094925728
kishumwi :
afande baraka nakukumbuka sana 2021 😊
2026-05-23 16:38:18
1
dndandeje
D legend :
wanangu wa oljoro hi
2026-05-20 17:19:35
2
george.kabitagi
George Kabitagi :
Daaah Hivi afande safari bado yupoo
2026-06-06 05:33:12
0
nadia.de.quit
Nadia De quit :
Familia ya faustine
2026-05-11 10:14:33
3
user9775413869528
tonyboy :
olijoro Moja iyo baraka mkira
2026-05-24 18:58:52
1
madameboss111
madameboss111 :
afande Baraka🥰
2026-05-26 06:27:16
1
user3579257341391
Paulo lubuva :
Afande baraka
2026-04-28 21:02:19
2
doni.ngwila
Doni Ngwila :
noma sana na nachingwea 843 namkumbuka sana father aish miaka buku afande di kitson
2026-05-01 16:53:38
3
kicheremichael
Michael kichere :
Baraka mkila
2026-04-29 04:03:52
2
black.discipline0
black discipline :
daaag namkumbuka sana afande yusuphu A coy platoon no.3
2026-05-08 13:33:47
2
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About