Thank You Sweetheart💞 Kwa Zawadi M/mungu akuongeze pale ulipopunguza asante Kwa Kuwa Sehemu ya Furaha yangu Kila Mara na Kila Nyakati Nakupenda sana Tena zaidi ya Neno Nakupenda Maana Upendo wako Kwangu ni wa Vitendo na Sio Maneno Tu ♥️Ayaaaa Tucheze Leo ile Game Yetu Nikufunge 😂😂
2026-04-28 21:00:40
88
Montanah🎒 :
Nimemtumia mke wangu kasema ni AI 😭💔😅
2026-05-26 21:16:49
13
Thabeet swago :
My guy is winning 🔥🔥🔥🔥🙌🏿
2026-06-23 18:12:04
0
Vicent Makoro :
kwani wa hivi wanapatikana wapi😂
2026-05-13 05:24:04
13
Dennah🥰😊🔋 :
Ww ni mm kabisa
2026-05-17 20:48:04
1
mrslee475 :
I wish 🥺mnapat wapi pesa jmnnnnn😂
2026-04-30 21:42:39
6
I S M A R T :
barikiwa mama
2026-05-30 10:23:48
1
️” :
Generation hii mebaki wachache sana wengi wana amini wao tu ndo wanasatahili furaha kama hii, mwambie shemeji yangu akitunze sana
2026-05-11 14:30:41
6
Mee Jack :
Asante mke wangu ila nataka nijue ulomsevu fred Nina I
2026-05-15 07:49:04
5
He is zunya🇹🇿 :
nmekufollow sabbu umetuheshmsha kwa Gamer mwenzetu😂
2026-06-07 16:40:34
5
donomar :
Madem wenu wanadhani ni AI😂
2026-06-14 17:07:29
1
Ankãl Lìngūis :
Daaah😁
2026-05-18 06:29:52
1
arandejamar5 :
big up 👊
2026-05-18 16:05:12
1
nasrinasries :
akw busy akcheza game uckaclike
2026-05-26 06:47:13
1
vnjrmarsha7 :
aaaah nimetamani na kwangu iwe hivyo
2026-06-08 10:31:59
1
METTY☠️👀 :
kwani hii sh ngapi?
2026-05-19 07:20:41
1
tino :
raha sana 😅😅😅😅👩❤️👨👩❤️👨
2026-05-16 09:49:20
3
To see more videos from user @realmiss_dee, please go to the Tikwm
homepage.