@g.fashion_1: Jamani mwiziiiii huyu nimemkamata dukani kwangu

G cute
G cute
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 11:32:33 GMT
322100
6888
208
445

Music

Download

Comments

tuma.tupa1
zuu tupa :
jaman hujui anapitia maisha gan
2026-04-29 08:32:10
111
stan.wa.kariakoo
Stan wa Kariakoo :
Umerecord na umeweka na filter🥰🥰🥰
2026-04-28 12:32:06
67
sam.og.store
Sam og store🇹🇿 :
Jamani mke wangu 🥺
2026-04-28 18:19:24
60
nanahonly1
🥀Is’t 🦋nanah 🤍only🥀 :
Wewe mzalilishaji 🥹😭😭😭🙌
2026-04-29 09:14:59
21
user96928465527488
Anastazia shilinde :
mungu nisaidie sana mim na familia yangu
2026-04-28 19:49:07
45
alex.mweusi
Natural Intelligence (NI) :
anasema akina mama Mungu awalinde wanatupambania weka like, ♥️
2026-04-29 20:10:38
29
johnphilipo01
JOHN@VIATU LUNZEWE :
msamhe please 🙏
2026-04-28 19:03:47
19
elizabeth.fabian45
Elizabeth Fabian :
mungu aniepushe na roho ya tamaa
2026-04-29 06:22:57
20
charlesmartin2005
Charles Martin :
msamehee tuuu uyo Dada
2026-04-28 18:56:51
7
user6747431806983
user6747431806983 :
halaf inasikitisha sana wanaomkandamiza zaid ni wanawake wenziwao jamn hamujui anapitia nn sw kaiba madhal mmepata pesa zenu muaccheni Leo mnamdhalilisha yy kesho hujui familia yako itapitia yeeeepi mstiri mwenzio ili mungu aje akustr na ww badae daaah binadam. tunakosa Imani wallahh
2026-07-27 09:12:23
1
leyla.muro7
Leyla Muro :
mungu akusimamie kama nikweli atakuvusha
2026-05-02 11:15:50
2
zorokhan001gmail.com
ZORO.one1 :
mnafanya uzalilishaji saw ndy mwizi lkn sio kumpost mitandaoni huwend ni mama au atakuwa mama mitandao itabak milele
2026-04-29 19:24:02
4
faustinaanjelus
Faustina Anjelus :
mwenyezi mungu aniepushe na roho ya tamaa jamaniiii
2026-04-29 17:39:51
7
abdul.ramadhan18
Abdul Ramadhan :
Mungu amuosamee
2026-05-05 05:57:59
1
user7111401832110
Dijjer🥰🥰 :
maji ya kishamwagika hayazorekii jamanii msimzaririshe sanaa tafteni namna ya kumsaidiaa nakuombeaa duaa vizaz vyeetuu piaaa
2026-04-29 03:59:44
1
eshedau
eshedau :
Mnatudhalilisha sana maisha ndio uibe fanya kazi
2026-05-24 15:36:42
1
user9479866287514
USITO TZ 🇹🇿 :
jamani msamehe
2026-05-30 15:34:43
1
benlavarsimon11
Benlavar simon :
mh, Ata hayana huruma
2026-06-18 21:25:15
1
cathe.baby53
World of love :
jaman ni maisha tu jamani
2026-04-28 19:12:18
9
zuuu7911
Zuuu :
eeèeeeeh mungu nipe moyo nipambane kwa jasho langu nisije kuaibika ivi katika maisha yang
2026-04-28 21:55:07
5
user6781997379305
sheila :
msamhe plz
2026-04-30 04:11:18
1
martinmpogoro
martinmpogoro :
Mwenyezi Mungu Amfanyie Wepesi Kwa Anayopitia.
2026-04-29 10:10:55
3
nassorhemed22
Nassor hemed :
Mungu hapendi
2026-04-29 13:35:15
3
lukas48602262413228
Lucas boniohace :
huruma jmn maisha
2026-04-28 18:41:16
2
rebbysmile
𝐑𝐄𝐁𝐁𝐘 𝐂𝐔𝐓𝐄🧚‍♀️ :
jamani msamehe 😢
2026-04-28 19:42:00
2
To see more videos from user @g.fashion_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About