@islamicswahilinet: JINSI YA KUSWALI SWALATUL HAJA NA DUA ZA MANABII As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 12:17:50 GMT
58182
2725
31
297

Music

Download

Comments

axhurawaziri
Axhura Waziri :
Naomba kuandikiwa Dua hizo zote nisaidieni mwenzenu
2026-06-20 04:47:15
4
aishamzeehamissi
aishamzeehamissi :
ASALAM SHUKRANI
2026-06-15 04:27:06
5
user7600447627770
ZUWENA :
a, alaikum naweza kupat namb za hy sheikh na shida nae
2026-07-02 19:16:31
5
anty.boss4
anty boss :
2026-09-23 19:26:17
3
abubakaryussufabubakar
Abuu Bakar 🇹🇿 🇶🇦. :
CNN
2026-10-12 00:34:29
0
mahmoud.mudi
Mahmoud Mudi :
swallallahu Aleyhi Wasalam
2026-06-14 10:26:14
0
user6349330614857
user6349330614857 :
asante
2026-09-27 12:42:11
0
user3033570056980
𝒇𝒊𝒈𝒉𝒕𝒆𝒓 𝒈𝒊𝒓𝒍🦋🌺 :
naomba niandikie duwa ya mtume Muhammad(s.a.w)🙏 pls
2026-05-14 16:38:05
4
ramlaadan61
Ramla Adan :
SwallaAllahu Aleyhi Wasalam
2026-06-17 17:12:15
1
royimakeup
✨Royiko-makeup💋💄💅 :
kbs 👏👏👏
2026-09-24 05:54:07
0
m.r.w11
abdi :
SAW
2026-08-07 07:08:56
0
bibisayra_
Sayra :
search utazikuta zote hizo
2026-10-17 02:33:30
0
ukhtyzai00
ukhty zai :
jamni nashida nahuyu shekhe tampataje anaejua anitafutie waumini wangu
2026-09-30 01:15:15
0
ashuraramadhan170
Ashura Ramadhan :
shukrani sana
2026-05-31 17:44:30
0
user23347800338743
aziza :
alikhamdulilah rabi allami 🙏
2026-04-28 12:41:04
0
yummayummy1
YummaYummy :
ameen🤲
2026-05-22 07:19:54
0
mwanaisha.mohamed54
Mwanaisha Mohamed :
amiin amiin amiin 🤲
2026-04-28 12:50:31
0
minahlittle
Minahlittle correction :
jazaki llahu khaira
2026-06-03 10:31:50
0
cuteliner
cuteliner :
Assalam alyekum anaejua hizo dua tusaidien kwenye comments
2026-08-27 17:13:55
0
bidjest.boy7
Bidjest BOY :
❤️❤️❤️
2026-09-18 01:16:57
0
anjelinahaji6
"Call me " Brand kiddy De boe :
@
2026-09-22 22:17:39
0
mariamally65
chimamydy🥰 :
😁😁😁
2026-07-30 22:40:05
0
ashamustafa35
ashamustafa35 :
🙏🙏🙏
2026-06-20 13:58:42
0
user076055
Aisha :
@
2026-04-28 17:11:28
0
tatushaibj
da`t,officialmunira :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-05 18:06:10
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About