bado sana chuga huwezi linganisha na mwanza zingatia neno bado 😁
2026-04-29 06:30:03
16
Daudibaso :
hamna kila kitu
2026-04-28 22:01:02
6
dalali rwego mwanza 0754980027 :
mbugani
2026-04-28 18:26:54
5
linahchacha🥰 :
camera Mani amekaa kwa wapi hapo
2026-05-09 15:31:28
8
King Lincoln :
hiyo green imekaa poa sana
2026-05-27 16:58:29
4
𝐢𝐭'𝐬 𝐌𝐙𝐀𝐌𝐁𝐔_𝐑𝐄𝐄 :
mji ukikosa mijengo unaitwa green city
2026-04-30 10:29:22
5
babe face :
waoooo chuga
2026-06-02 17:08:41
1
nije :
haya babat sijui kwann kila mkoa yapo yan et mpka dAr yapo mengi
2026-05-21 06:08:06
2
Mtupori 001 :
arusha bado san
2026-05-08 15:11:44
1
Young#migoz :
..hicho ni kapart 2 , ko wait for full city view
2026-04-29 10:47:12
3
Alex Çõpå :
Phillip's apo
2026-04-29 21:07:18
2
Aminh Petro :
nakubali sana
2026-05-27 16:17:53
1
Vans :
jaman hilo jengo lipumzishwe
2026-05-19 18:59:16
2
KASKAZINI FINEST :
wapi Kaskazini Finest 🥰🥰🥰
2026-05-26 19:21:24
1
MR EMMANUEL :
Philips
2026-04-29 06:28:53
1
antidiusyustinian :
naona milima t
2026-04-30 21:22:21
1
Daniel Adam :
comment nyingi huangalia mapenzi ya mtu anapotokea
mwanza imedevelop sana imejengeka sana ,kunamzunguko wa hela nzuri,maisha nafuu .Arusha walicho wazidi mwanza ni maendeleo ya utali na Hali nzuri ya mazingira ukilinganisha vzr zaidi
kulinganisha majiji haya mawili Bado mwanza ipo juu shida watu hamtembei uzuri majiji yote nimekaa na jua kiundan zaidi tembeeni muone still mwanza imejengeka sana
2026-04-30 06:54:33
2
Hsele :
mm nyumbani arusha lakini ukweli ni kwamba arusha maendeleo bado saana tukubali ukweli najua tunapasifia saaana lakini huo ndo ukweli
2026-04-29 08:50:59
8
BinG :
Hapo ndio mjini?
2026-05-29 16:31:34
0
Fety❤❤ :
Naipemda sana arusha🥰
2026-06-06 08:35:36
0
Amani85kessy :
Philips
2026-05-31 04:39:31
0
Marianna❤️ :
chuga for life🥰🥰🥰
2026-06-05 09:45:42
0
Phan boy💫 :
jiji limekalia wapi apo
2026-05-29 03:57:41
0
Rashid Mduma :
unyama sana
2026-04-29 06:38:25
0
To see more videos from user @kg.builders, please go to the Tikwm
homepage.