@digestive_healthysolutio: ⚠️ DALILI HATARI ZA BAWASILI USIZIPUUZE ⚠️ Unawahi kuona damu ukitoka haja kubwa au unahisi maumivu makali? Hii si kawaida! Inaweza kuwa ishara ya bawasili 👇 🔴 Damu kwenye choo au tissue 🔥 Maumivu wakati wa kujisaidia 😣 Kuwashwa/kuungua sehemu ya haja kubwa 📌 Kuvimba au nyama kutoka nje 💥 Kuhisi hujamaliza haja vizuri 🚨 Usipochukua hatua mapema hali inaweza kuwa mbaya zaidi! 👉 NIAMBIE KWENYE COMMENT: Unapata dalili ipi kati ya hizi? (andika namba 1–5) 👉 Au andika “NISAIDIE” nikutumie ushauri sahihi DM 📩 Usione aibu, wengi wanapitia hili kimya kimya! #Bawasili #DaliliHatari #AfyaYaUtumbo #TibaAsili #afyakwanza

digestive_healthy255613063286
digestive_healthy255613063286
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 13:08:53 GMT
949
4
2
3

Music

Download

Comments

petroniaedwadi
Petronia Edwadi :
nisaidie
2026-07-04 17:29:16
0
To see more videos from user @digestive_healthysolutio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About