@islamicswahilinet: FAIDA ZA KUTOA SADAKA ZA SIRI As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 14:42:16 GMT
8994
1088
14
42

Music

Download

Comments

halimakambi992
Ramuziy kalu :
s.A.w
2026-04-29 15:40:38
1
alhamdulillah.alhamduli7
Safia :
S A W
2026-06-11 16:59:56
0
user9415213191573
user MUTA SAHA :
subhanah allah
2026-05-20 19:08:55
0
kijakazijumanne
KIJAKAZI JUMANNE :
s,a,w
2026-07-17 15:34:56
0
abdinass4
abdinass9 :
Jazak Allahu Khair
2026-07-19 18:46:34
0
asha.ismail2
Asha Ismail :
s.a.w
2026-04-29 08:12:26
0
momaah32
momaah :
s.a.w
2026-04-28 18:22:39
0
islamicknowledge978
Islamic knowledge 🕌 :
Allahu Akbar
2026-04-28 15:55:48
0
user828870954578
limzylimuh :
Allah akbr
2026-04-28 17:46:58
0
oman.mobaile1
Oman Mobaile :
🥰🥰🥰
2026-04-30 16:10:07
0
kisinzaapo
kisinzaapo :
😊😊😊
2026-04-28 16:51:30
0
kishkitv41
ABUDALAH KISHKI TV :
🥰🥰🥰
2026-05-13 18:12:46
0
omaraliyhassanii
mameni 💪💪 :
💪💪💪
2026-04-28 15:02:00
0
asumaniabduli
Asumani Abduli :
🥰🥰🥰
2026-06-25 10:15:35
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About