@madam_leila: Karibuni katika Darasa letu la pili la Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darasa letu la Smart Ladies Master Class. Katika Darasa hili tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darasa letu hili Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mixx by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 17:11:25 GMT
1047427
87127
1209
3281

Music

Download

Comments

asia_tboss
_tboss :
Miaka 50 mimba imeingiaje?
2026-04-28 20:34:42
245
allybanza08
Ally Banza 🍃 :
😁 Huyo ndo mke nnaemtaka mimi 🙏🏾💯
2026-04-29 05:15:44
469
ramla.ramla719
Ramla Ramla :
😅😅😅unajua nacheka nini
2026-04-28 17:59:57
185
mugendianderson
mugendianderson :
guardian angel sio
2026-05-04 09:50:45
0
bigmoto8
BIG MOTO :
huyo kijana ni role model wangu 😂
2026-04-29 07:45:04
203
ahalanbinsnilliy2ayus
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
mwamba kaanza mchezo 3-0 tatu bila 😅
2026-04-28 17:52:45
198
johnmhina1982
John Mhina :
leila we mzuri bhana🥰
2026-04-29 11:38:04
11
dapeopletzz
Dapeopletz✍️ :
kikubwa tunaelewana na mke wangu... watoto wa 2000 wanazingua sana. kama haipo upande wako huwezi elewa.🙏🙏🙏🥰🥰
2026-05-03 04:16:11
93
newtechpower
New Tech Power :
unatupanga miaka 50 mimba wapi na wapi?
2026-05-04 11:14:32
17
zakiya.ramadhan
zakiya ramadhan :
upendo ndo kitu kikubwa jaman
2026-04-28 17:17:11
136
thatmelanin1808
TheRil MELANIN🫦 :
yan mechi ndo inaanza lkn 3 bila😂💔
2026-04-29 14:44:43
18
neriamy_1
Jay :
there's someone for everyone
2026-04-30 13:51:33
6
engpatrick037
PATRICK TARAJA :
graduation
2026-05-05 18:29:11
5
nininahazwe161
nininahazweblaise :
ninataka kucheka ira sauti haisikiki kwenye commenti😆
2026-05-07 19:11:01
5
k192488
Mmari Godslove :
sasa mnacheka nn
2026-04-29 03:05:42
14
papa.de.boy.tz
papa de Boy Tz? :
NYUMBANI SIRUDI🥰🥰
2026-05-03 20:09:11
5
ali.simai6
Ali Simai :
hekima ndo inabaki hapo madam dada
2026-05-03 20:11:07
8
elvismutaihsc
E.L.V.I.S. HSC.🇱🇷🇰🇪 :
sema tu guardian angel Wacha kupita kando kando
2026-05-08 18:38:40
5
zebbynamba
zebbynamba :
dada nakependa unavyo ongea
2026-05-06 11:50:29
5
sirkash.4ndo
sirkash 4ndo :
mapenzi hayana umri huyo kijana anaishi maisha ya amani kuliko mwenye kuowa mwenye umri sawa
2026-04-29 13:50:16
73
bomzykhassan0
bomzy Khassan0 :
natafuta comment yangu siioni🤣🤣
2026-04-28 19:53:15
41
mussaanania
Tz Muhammad s.a.w my prophet :
walai na Mimi nimecheka
2026-04-28 18:52:06
20
jibaba18
Mittwan the BEAST :
Watoto jau sana
2026-05-03 06:56:02
7
msouth_dreamchaser
Dady_Msouth :
Sasa madam kwanini unanicheka mama
2026-04-28 19:04:47
18
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About