@hemanipodcast: Kusamehe ni uhuru wa moyo. Unapochagua kusamehe, unajitoa kwenye minyororo ya maumivu na kuishi kwa amani ya kweli. 📖 Waefeso 4:32 – “Iweni wafadhili na wenye huruma, mkasameheane…” Cc: @paulClementofficial #hemanipodcast #nenolamungu #paulclement #biblia #amen

Hemani Podcast
Hemani Podcast
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 17:13:23 GMT
524738
46245
670
2037

Music

Download

Comments

_ily.sophh04
Sophy Fashion Hub👗🛍️ :
Mi ndomana sitaki mahusiano nimekua zangu tu Mchawi
2026-05-02 09:47:35
498
isaacmagam
Isaac Magambo :
Sisi walokole Huwa tunakaujinga kwa jina la Mungu.
2026-04-29 05:45:09
323
wise0480
Wise 💎 :
Walokole wanasumbua sana kwenye mahusiano.
2026-05-02 19:12:43
122
ms.munga2
ms.munga2 :
Kma hujawai pitia hii situation uwez elewa,Yoh uchungu/maumivu🙌
2026-04-29 04:28:44
401
rinabeauty010
Rina Beauty :
ndugu zangu walokole mapenzi ni hisia🥺🥺 haya mambo yanahitaji ubinadamu sana sio spiritual things
2026-04-29 05:35:05
793
precious_bella6
21 July 🐾🍒🖤 :
Musituache ghafla munatuumiza🥺🥺
2026-04-29 13:59:28
89
tunuhabibu492
Tunu Habibu :
laaana itakupata
2026-04-29 04:41:16
180
giramatha
giramatha :
mimi nina maumivu toka 2018 mpaka sasa
2026-04-29 05:39:57
87
cutestel_tz
chosen :
aise niliaachwa hivi hivi ila wakaka wakilokole salute jmn
2026-05-24 07:50:38
12
eradiusmwemezi
Eradius Mwem :
Dear God tuepusha kucheza na hisia za wototo wa watu
2026-05-01 06:11:48
76
dayanarushunju
Dee❤️ :
sisi atunaga bahati
2026-05-02 05:19:16
5
happynes.hadson
Happynes Hadson :
😭😭😭😭😭 jamani naplitia hiyo ki2 Mimi mungu anifanyie wepes
2026-04-29 01:54:09
92
priscamongela
Mo💞 :
maumivu haya yasikie kwa mtu mwingne
2026-04-29 06:27:37
56
alexander255__
Xander👑 :
sasa ngoja kesho niamke asubuhi na mimi😊
2026-04-29 09:14:02
13
anie8110
anie :
haukumpenda bwanaaa
2026-05-28 04:03:35
8
nationlady
Shadeee fashion :
Nina Maumivu tangu 2015 mungu Huyu mwanaume aliyenipa mimba siwezi kumsamehe mm
2026-04-29 16:08:45
5
user8662196663383
dida kimosa :
SISAMEI MTU MM🥺
2026-06-21 16:45:11
5
user2874743334681
mamyh@ppy :
Na mm pia boy friend wangu ameniambia ivyoivyo kama ulivo mwambia uyo wako🥺😭😭😭😭
2026-05-08 08:10:05
6
gmwaka
Grace mwaka :
Kwahivo uliamini amekusamehe si ndio
2026-04-29 14:43:24
65
rosezegega
ROSEZEGEGA :
mi ndo maana sipo kwenye mahusiano nipo zangu kazini😂
2026-05-08 22:12:44
7
jayphar4036
hearean✨baby💝 :
mm naamini malipo ni hapahap
2026-04-29 08:02:07
34
disminder880
Magy Madini~🦋🥰 :
my situation now😢😢😢
2026-04-29 04:49:09
32
michelle.abby1
Michelle abby :
Hata mm ndioo napitiaa asahivii 😣😣ni wakuliaa tuuuuuu 😔
2026-04-29 01:56:30
51
paksyiawilfred
paky :
natamn hii post imfikie mtu mmoja tu
2026-04-29 13:15:04
29
irene.juma513
Irene juma :
unajikuta nan wew 🥺🥺
2026-05-06 14:22:54
5
To see more videos from user @hemanipodcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About