Da fifi umenfanya niwe strong than ever nakushukuru sana post zako zimeniimarisha nakupenda sana 🥰 Mungu akulinde milele
2026-04-28 18:56:54
158
Queen Taiwa :
Hii mindset kama yangu kabisa kumbe huwa niko sawa ee. I appreciate you dada Fifi.
2026-04-29 05:08:34
57
jigi :
Asante Da Fifi napokea positive energy with gratitude,barikiwa
2026-04-29 04:11:36
27
D’Ravena💝 :
Perfume gani ivi mmesema
2026-04-29 17:37:20
19
sabby :
nimejifunza kitu, usiwe mbaya kama wao, kuwa polite🥰
2026-04-30 18:44:07
23
Jackline T Ndos :
Nilikuwa nmelala,Dada fifi acha niamke niende kazn🥺🙌🙌🙌🙌🙏❤️nikafungue ofisi sasa
2026-05-01 06:21:39
21
Winnie_divine✨ :
Asanteeeeee🙌🙌🙌
2026-04-28 18:54:38
16
pallangyo421 :
Nina ushuhuda na hili kazini nilipitia vita ambayo ilifika sehemu nikataka kuandika barua yakuomba kuamishwa kituo cha kazi : kupitia iyo vita ilinifanya nikabadilishwa idara 🙏 :: Mafanikio yangu mengi yanakujaga na maumivu sana
2026-04-28 21:53:55
52
Tunu Hijja@love :
Unasema😅😅😅, hakika sio mnyanyuo wa Mungu🙏🙏
Mnyanyuo wa Mungu una vita bwana🥹🥹🥹
2026-04-30 07:50:05
21
Leticia Fabian :
asante sana ubarikiwe
2026-04-28 20:03:46
5
smilegirl♥️♥️ :
Da fifi Nina ushuhuda kwa hilo. Mungu aendeleee kukutunza kwa ajiri yetu♥️♥️
2026-04-28 19:20:16
15
sawia@j :
Jmn mm kucha tu 😘😘😘 nimezipenda ni nzuri haswa....
2026-04-29 18:38:58
5
Papper :
hii yangu hiii, Asantee Mungu kuongea na mimi kupitia huyu Dada🥰, Mungu akubariki
2026-04-29 04:39:27
14
Nadia brwn :
ushauri mzuri sana siz, Mimi umenitoa mbali sana now ni mtu najielewa vyema na nmkua karibu Muumba wangu
2026-04-29 05:31:50
10
NISSI77 :
true
2026-04-29 08:01:43
5
Mlungu tumaini :
Amen
2026-04-28 19:27:03
5
AsiyahAlly🤍 :
exactly 💯....
2026-04-28 20:20:22
5
jigi :
Samahani da Fifi lazima perfume ya signal ama perfume yoyote inafaa?
2026-04-29 04:13:28
14
E. :
Ila we dada unaMungu wako wallah
2026-04-28 19:26:07
10
Dijja💕 :
Dada Fifi ♥️♥️me wakwanza leoo
2026-04-28 18:53:51
6
JAY COSMETICS MOROGORO :
I love Sis Mungu akutunze sana 🥰. nimefurahi sana umempa moyo mkuu uyo dada
2026-04-29 08:00:39
6
mellymandy 🎀🎀 :
aaa mi nakupendaa banaa🥰🥰🥰🥰mungu akutunzee dada anguu😘😘😘