@buyordertz: Ukija China 🇨🇳 na hujui haya maneno… utaishia kutabasamu tu kila mtu akiongea 😂 😎 Nǐ hǎo = Mambo vipi boss! 🙏 Xiè xiè = Asante sana mkuu 😂 Bú yào = Sitaki bana! 💸 Duō shǎo qián? = Bei gani hii jamani? 😭 Tài guì le! = Bei ya kuumiza moyo 😅 Piányí yì diǎn = Punguza kidogo basi 😵💫 Tīng bù dǒng = Sijakuelewa kabisa 🏃♂️ Kuài diǎn! = Harakisha bhana 😭 Méi yǒu = Hakuna kabisa 🍜 Hǎo chī! = Tamu sana! ❤️ Wǒ ài nǐ = Nakupenda 👦 Nǐ yǒu nán péng yǒu? = Una boyfriend? 👧 Nǐ yǒu nǚ péng yǒu? = Una girlfriend? 😍 Nǐ hěn piào liang = Wewe ni mzuri sana Ukijua haya tu… unaanza kuishi China kama mwenyeji kidogo 😭🔥 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #vichekesho #zanzibar #china
BUYORDER
Region: JP
Tuesday 28 April 2026 17:22:40 GMT
Music
Download
Comments
Bruno david :
nataman sana kujua kichina
2026-04-28 21:48:13
87
Tee~carrie :
mbn hauvui kofia😁
2026-04-28 19:10:48
19
Janna :
baba nimeyakamata ayo ngoja sasa
2026-04-28 18:03:59
5
Popo :
kuna jela na guest
2026-04-28 18:39:49
12
jordan mom❤️🌹 :
sina bwana 😂
2026-05-02 21:12:49
1
Dany Saura :
masai anakuja
2026-05-23 13:59:50
1
love 💕💕💕💕 :
ila nyie jamn
2026-05-23 07:18:02
0
demash :
ila umemualibu sana huyu mchina
2026-05-11 05:45:25
10
air💥born :
leo again
2026-04-28 17:29:42
1
Cosmas :
take note
2026-05-26 17:31:28
2
TUMEHAMA....!!!🫵🫵🫡 :
10/10
2026-04-28 17:36:57
1
Jenipher tz🥰❤️🔥 :
😂😂😂tuliokuja kusoma comment mko wapi😅
2026-05-08 03:13:43
5
Qauthary 💋💝 :
😅😂😅
Nawapenda hawa watu jmn
2026-06-04 16:44:03
1
pydy_58 :
😂😂😂 Noma sana
2026-06-01 15:33:06
1
Caren93 :
Meyooo 😂😂😂
2026-06-01 09:58:42
1
Anuarith Mbayiki :
kweli nzuri
2026-05-24 18:03:49
1
🪷Hope Tz🌹 :
😁😁 nawakubali saana
2026-05-26 10:07:45
1
Yoggo :
Duuh
2026-05-09 11:48:27
1
vaileth :
你可以当我的老师吗
2026-05-04 20:06:03
2
Wealth Circuits. :
good job guys big fan😂
2026-05-02 14:54:07
2
Herc D'Amour :
Ni Hao😂😂😂
2026-04-28 18:26:06
1
mista.pagman :
bien Sana kuyuwa ki chuna
2026-05-19 00:38:49
1
carrick :
hapa ni wapiiiiiii 😁
2026-04-29 09:32:58
2
D e n i c :
Ongezeni sauti😁😂
2026-04-29 09:03:31
4
To see more videos from user @buyordertz, please go to the Tikwm
homepage.