@crownmedialive: Kumbukizi ya Msanii Spack ambaye amefariki dunia jana April 27,2026 akiwa nyumbani kwake Chanika, Tukio hili ni enzi za uhai wake wakati alipofika kwenye THE THRONE ya 92.1Mhz Crown FM Oktoba 10,2024. Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #RipSpackWaBongoFlava #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

CROWN MEDIA
CROWN MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 17:35:44 GMT
304946
21993
656
555

Music

Download

Comments

mouricemikes10
ORICE👑❤️‍🔥 :
Iv kwann watu wazuri mungu anawachukua🥺🥺🥺
2026-04-28 19:38:14
76
meritha_pius
Mery :
Hakika kwenye kifo MUNGU alituweza🥺
2026-04-28 19:49:12
315
asha.ramadhani045
🌸Ashrey🌸 :
Mzuri mwenyew kafanan na king kibaa☺️
2026-04-28 20:53:50
82
nnaastore22
nnaastore :
watu wanajua kuimba live
2026-04-28 18:35:23
69
ismah_255
Ismail Leo :
Hii nd ilikuwa maana halisi ya bongo fleva. Wazee wenzangu wa 90's tunaelewa
2026-04-29 06:03:55
54
venacosmeti27
VENA-COSMETICS27 :
🥹🥹😭😭dah watoto wa 90 hizi ndo nyimbo zetu
2026-04-28 22:17:44
196
decco376
decco :
ameniumaaa nyimbo zake tulikalili tukaandika kwenye daftar na rafik angu Tina 😭
2026-04-28 20:18:26
175
intelligence1307
Huzzeyn Reymy Mohamed⛎ :
Wanafiki sana mtu akiwa hai hamumpongeza mwasubri afe
2026-04-29 00:25:46
65
brianking415
BRIAN👑 :
Inaumaa kinoma wakuu alaf ngoma za old ni kali sanaa sema ndio ivo❣️
2026-04-28 18:56:46
14
milliey_ogero
Miilicent kerubo :
Sparkyyy 😭😭😭 sawa tu basi lala salama kaka
2026-04-28 19:51:18
13
ibbu.tz
IbbuTZ :
Mungu ungemchukua japo Anko Chai basi .... 🥹🥹
2026-04-29 00:52:47
23
princess_ashkie
عائشة ❤️‍🔥🌸 :
Kila nikisikiliza nyimbo zake bado siamini kama ameenda 🥺 Yaa Allah ipumzishe roho yake kwa aman 😭🤲
2026-04-28 19:52:26
29
princess.eva804
Koku🎀 :
Dah 😭😭 mwenyez Mungu ampumzishe kwa amani 🙏
2026-04-28 18:58:34
39
muuhbey..1
MUU BEY :
mungu amsamehe madhambi yake ya Dunia na ampunguzie adhabu ya kaburi 🙏🙏 inshallah.
2026-04-29 07:03:49
10
tatuabdul346
Madam Teeh 🦋🍁🦋 :
wale wenzangu wa 90 tujuane tulikua tunapata raha harisi kabisa 🔊🎶🎧
2026-04-29 06:39:50
5
jackie_jrajab
jackie :
Alijua kuimba bwana
2026-04-28 19:33:18
13
ester.jack7
Ester Jack :
daaaah nimeumia sana jamn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-04-28 20:50:31
6
charlesamushijr
Charlz A. Mushi Jr. :
dah see you there
2026-04-28 19:43:35
7
aslamnyama
Aslam Adam :
innalillah wainahi rajiun Sisi ni wa Allah na kwake tutatejea 🕯️🕯️
2026-04-28 18:33:42
10
pili.rajabu64
PILI RAJABU :
😭😭😭🙏🙏🙏Kweli Dunia syo makazi
2026-04-28 19:02:45
11
user..aisha7
💓✨..{Aisha}..✨💓 :
Duniani tunapita akhera ndio makaazi yetu🥺🥺Allahu maghfirilau warhamuuh waasikanah fil jannah 🤲
2026-04-28 21:02:41
8
ciara.mwacha
Ciara🌸❤️ :
Mmenifanya nilie jmn🥺
2026-04-28 20:01:35
5
fatmachumachumachuma
@fettypambeeee :
watoto walimzowe baba leo baba ayupo jamani inauma sana
2026-04-28 20:58:45
5
feytimah
fey arty..🍎 :
nipe ripoti nyimbo hii nilikuw nikiimba sana paka nikatunga rimix sasa naogopa hata kuimba ,,,,inaniuma sana
2026-04-28 21:36:53
5
eveline.tumaini
Eveline Tumaini :
bye jamn atasisi tunakupenda ila hatuna jinsi byee
2026-04-28 19:41:12
5
To see more videos from user @crownmedialive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About