@kaka_wavitambi: Viazi na nyama vinaweza kukusaidia kupunguza uzito na kitambi ikiwa utavichemsha au kuvirosti badala ya kuvikaanga. Siri kubwa ya uzito ipo kwenye chakula na kiasi unachokula. Siyo lazima ule wali / ugali Kila siku unaweza kula hivi na ukapungua vizuri 😋 🤤 Njoo na lengo lako nikupe muongozo sahihi Kwa maelezo zaidi karibu 📥 0713701943 #viral #explore #foodtiktok #weightloss #kitambi