wakina harmonize wanaimba mapenzi tu uku mjini wanashindwa kupaza sauti kwenye wilaya Yao
2026-04-29 06:32:29
864
Andrew Rambau :
ukitoa habari kama hii unaambiwa unavuja amani ya nchi
2026-04-29 07:42:32
585
Lameck Emmanuel :
mmm keeli au
2026-06-17 08:43:10
0
fr piere (osb) :
bro una mawakili lkn?
2026-04-29 07:35:16
275
ATHUMANI :
nambunge yupo na kura wanampa
2026-04-29 02:37:01
317
nelsonmasolwa :
Hili sio la kumuachia mungu aseee
2026-04-29 04:53:56
98
Elizabeth Pita :
kwa kina harmonize anakazi ya kuimba tuu utumbo
2026-04-30 17:28:07
54
sumle 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
shule nyingi sana hazifai kabisa mm nimesoma hizi shule inauma Sana
2026-04-29 03:54:27
145
ikrakan733 :
nimependa unavyo pitia comment moja moja
2026-04-29 09:26:17
92
DJ pocca💦 :
naomba mtagi harmonize
2026-05-19 12:26:24
6
JamAA :
afu mie nimekaa hapa na degree yangu hawanipi kazi
2026-04-29 07:13:45
60
abeid Diego 29 :
Tumpuuzie hii ni AI 😂😂😂
2026-05-21 12:07:25
5
Melly 💕😜 :
Dah😭😭 eeh mungu tusaidie Tanzania yetu inateketea
2026-04-29 04:03:57
42
FUDALU :
ipo wp hy
2026-04-29 04:47:33
10
faith daddy & momy :
Huwezi ona media kuma ziki repost hii🥺🥺🥺
2026-04-30 13:45:06
16
Atta :
Budget ya serikali ni kumleta Rio na Drogba
2026-05-23 18:27:45
6
jackleenngonyani :
igizo la uchaguzi 🥺🥺
2026-05-18 09:26:42
5
schola mwalabila :
Ee mwenyezi Mungu tujalie kipato
2026-05-18 05:10:22
8
isabella_jo1 :
Unaamsha maumivu makali sana brother 🥺🥺
2026-04-30 08:12:15
11
J&N 💕 :
mke wangu mungu amjalie akijifungua salama ntahakikisha mtoto wetu anasoma mwisho la saba , baadae ntamfundisha mwenyewe jinsi ya kuwa computer expert, nambo ya ngoni migration au panzi ana miguu mingapi sitaki ayajue kabisa
2026-04-29 23:16:08
49
shaban Thabit :
awajali masikini mungu yupo
2026-05-15 11:29:28
6
love fidel :
nchi inapitia mengi Mungu tusaidie
2026-05-16 08:01:19
5
emilian lukasi :
inaonekana kabisa Bado hatujapata uhuri
2026-04-29 08:31:52
20
Shivo :
ina uma kinom kk ila Mungu ana majibu yetu 🙏🙃
2026-05-21 15:26:51
5
user37966917661340 :
zipo nyingi sana hapa tanzania 🇹🇿
2026-04-29 07:07:24
16
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm
homepage.