@automatewithai_tz: Hii ni kwa wale "Wajanja" wote wanaotaka ku-automate content creation zao. Nimekuonyesha jinsi ya kutoka kwenye Text Prompt ya Gemini hadi kupata High-Fidelity Track kutoka kwa Lyria 3. Hakuna stress za copyright, hakuna gharama za ziada. Ni wewe na AI yako tu! Vitu 3 unavyotakiwa kujua: 1️⃣ Prompting is Key (Gemini knows the vibe). 2️⃣ Lyria 3 is the engine (High-quality audio). 3️⃣ Custom is better than trending. Save video hii isikupotee na follow kwa AI hacks zaidi… #AITanzania #Gemini3 #MusicAI #Automation #DigitalMarketingTZ

Reinafrida | AI Automation
Reinafrida | AI Automation
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 April 2026 22:13:37 GMT
6477
347
25
46

Music

Download

Comments

cvelicious
cvelicious :
maxpay app inalipa
2026-04-29 08:52:36
2
bin_ahmed4
BIN_AHMED :
Why maximum ni 30second
2026-05-01 04:25:09
1
abu9219
abu :
uko vzr sana Frida
2026-04-28 22:23:12
2
habworksolution
Worksolutions LTD :
woii its time kuwa na namba ya madam A.I🤣🤣
2026-04-29 06:56:34
1
edgarnkiza
edgarnkiza :
Nice sister.
2026-04-28 23:12:58
1
muzanye99
Muzanye :
wooow! come again Madam una material poa sana can I contact You for more Tips
2026-05-14 14:35:18
0
brokersmuzik
Jack Rabbit ⚡ Music :
Sunno Ai ukimtumia atafanya vzr zaidi.
2026-05-04 05:16:25
2
suahibu7
Suahibu Boston Karata :
Asante 🙏
2026-04-29 12:19:07
1
bwaham232
Bwahama Elixha :
una content nzuri lkn hutak kujib maswali tunayokuuliza..kama kitu hukijui s bora useme kuliko kuona na kutojibu
2026-06-03 17:38:21
0
alisaid1641
alisaid1641 :
Kusema ukweli nimekupenda
2026-06-12 06:37:56
0
yamtaani
AI :
Zulisama
2026-05-24 09:52:47
0
brilliant_pictures
Brilliant_Pictures :
naomba kujua uliko dada angu
2026-05-24 17:19:53
0
mclaanyu
MC LAANYU :
nakupenda bure
2026-05-12 18:42:55
0
gegwashauli
Gegwa :
🥰🥰🥰
2026-06-18 19:01:05
0
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About