@millantravellar: 🌴✨ ZANZIBAR OFFER – MEI 1 HADI 3 ✨🌴 Karibu ufurahie siku 3 za kipekee Zanzibar! Tunashughulikia kila kitu kuanzia mapokezi (airport au marine), malazi (accommodation), na chakula (lunch). Utapata nafasi ya kufanya activities zote kubwa: 🐬 Dolphin Tour 🏝️ Mnemba Island (snorkeling & sandbank) 🌊 Kendwa Beach 🏛️ Stone Town Tour 🐢 Makachu (kulisha kasa) Experience kamili ya Zanzibar bila stress yoyote! 📞 Wasiliana nasi: 0788079105 📅 Nafasi ni chache — book mapema!