@mrusdtlyrics: Marioo -NewSong Kanibal kutoka mombasa Mtu na mpenzi lakin sidekezwi Mi mpenzi mtazamaji Mtu Nam kwetu ntakua fala Kama samaki akifa kwene maji Achanionekane sijiwezi Siri ya mtungi naijua kata Nimara ngapi nimeumizwa nkalia Uliza hili jicho! Hawa watu hawa Hivi ni kweli ni watu wa mungu hawa Mbona hawana huruma hawa Dar es salaam mtanitoa roho yangu Misiwezi kuishi bila kupendwa Bora niende mombasa Nikajaribu zali langu mimi mombasa Naomba mnipokee ee mombasa Abdulswamad nateseka mimi mombasa #marioo#mombasa #viral#newsong #mkufyalyrics