@georges_kitchen: Mimi kila nikifika dar apartment yangu nayo fikia ni @lora.realestate sina nyingine jamani kuna utulivu wa hali ya juu sana alafu kuhusu usalama ni 1000000/10 @lora.realestate mnajua aise mnacho kifanya ❤️🔥🙌🏾 Napia blender nalo tumia ni mepata kutoka @brinaxtanzania utokaa ujutie ukichukua hili blender mwaego 🔥🔥🙌🏾 lina saga adi dhambi za mtu yooh
George's Kitchen
Region: ZA
Wednesday 29 April 2026 05:01:47 GMT
Music
Download
Comments
noriega :
upishi wa hovyo sana. kutumbuliza kila kitu humo kama bibi yangu
2026-04-29 20:47:47
421
nailahmamy :
nimependa hilo lost Dah kumbe najichosha kuivisha nyama kwanz
2026-05-01 15:25:07
113
🦋ZANZIBAR_STORE🦋 :
Jamaniii nyama imeiva kwelii🥺
2026-04-30 17:02:38
48
Amoh :
nani yuko na good morning mbili anitumie moja
2026-04-29 06:59:10
154
jane🌹🌸 :
Leo hujaogaa😊
2026-04-29 16:46:21
65
Miss imelida2 :
Ujaoga leo😁
2026-06-17 13:38:24
2
H&R ❤️❤️❤️ :
kwan unaish mkoa gan
2026-04-29 08:22:25
23
Saumu official 😚 :
nindoto yakila mwanamke kupata mume kama huyu ,nakama hunipingi gonga like hapa
2026-05-01 09:56:56
16
user72342637457118 :
huu upishi WA nyama nimekuelewa ewaaaaaaah🥰
2026-04-29 11:34:47
46
🦋B🦋u🦋n🦋n🦋y🦋🥰 :
Leo hujaoga na Maji ya chai
2026-05-02 06:09:19
14
MRS D..🥰🥰 :
mashallah..nimelipenda pishi🥰..haya huo wali ndio waitwa wali wa nini mwanakwetu..
2026-04-29 16:13:00
7
Mary Nahana :
mbona Leo hujaoga🙆
2026-04-29 06:50:40
10
azooh :
George sorry pishi la pasta na basmati na weza kujua zaidi
2026-04-29 05:24:24
5
dashuustara_Tz :
kula tuu kuoga aaahh!!!
2026-04-29 10:50:04
8
pendo baby :
Hiz nyama zimeiva kwel maan zilivyopikwa duh!! 🥰🥰🥰
2026-04-29 16:50:37
14
zuuu :
mie tu nd sijaelewa upishi wa nyama au
2026-04-30 16:47:16
11
Abel junior :
uyu ataoa kweli😅
2026-04-30 10:21:02
7
lucious lucy :
aki si nikuwe guest wako hata siku nusu jamn🙁
2026-04-29 14:26:54
5
Faekia kitundu :
10/10,nalipa
2026-04-29 12:13:32
4
Mimaah Outfit🛍️ :
3/3
2026-05-14 18:56:06
1
lulu:kimwanya😔 :
nije kukusalimia
2026-05-16 17:35:34
1
suraiya :
kwadizain hii tutaolewa kweli
2026-05-02 08:37:08
3
baba Nayfath og :
mazsuoe. ysjsvgduo. gsuomazsthftdhkkudy. hduooudhybudvgdjidbhdgu
2026-06-04 11:20:11
1
"B1ACK M3SS1AH"🇹🇿 :
2026-05-02 19:18:23
1
p momy :
jekundu sana il good
2026-05-16 10:51:08
1
To see more videos from user @georges_kitchen, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.