@abdulazizielajemi: Allah anasema katika qur'an Huenda ukakichukia kitu kikawa ni kheri kwako na huenda ukakipenda kitu kikawa ni shari kwako kwaiyo alilokuchangulia Allah ndio lenye kheri na wewe usilazimishe usilolijua. 🎙️ sheikh Hamza mansoor ✨Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo ✨FOLLOW✨ @guide_qalam @islamic_rihla @Ulimwengu_wa_kiislamu
😭😭😭😭😭😭 Kwa nn mungu analetea watu sio sahihi kwangu stahili kupenda 😭😭😭 ctamani Tena ndoa nimechoka
2026-04-29 14:28:59
347
Its_aisha_mamy😍 :
Mungu atujaalie waume wenye kheri n ss n Wacha mungu 🤲🤲🙏
2026-04-30 07:02:10
440
Dr hearts ♥ :
subhanaallah Allah nijalie mume mwenye kher kwangu na familia zetu🤲
2026-04-29 15:10:05
233
b!! zukh@!l@🤲🧕💞💞💕 :
🥹🤔😥 Allah atujaliie waume walio bor
2026-04-29 18:24:43
110
MAYRA_COLLECTION :
Sahihi niliteseka kwa mwanaume mmoja na kutaka awe halali yangu lakin vipangamiz vilikuwa vingi lakin sikutak kukubali kumpoteza mwisho wa siku mungu akaniachia niwe Karibu nae na kila ninavyokuwa nae furah kwangu ilikuwa amn mpak moyo unachoka kubumilia na nikajitoa na mungu akanifanyia miujiza mpak sasa siamn si kila unachokitak wew kina kher mda mwingine tukubar ukweli kutoka kwa Allah Alhamdulilah 🥹😍
2026-04-29 22:47:28
111
nipher 💕💕 :
istihara ni swala gn🥹
2026-04-30 04:33:07
10
Rey cham 8 :
Nimeiswali hii swala lakin sijaona majibu wiki imepita
2026-04-30 07:17:58
17
~fauziya🦢 :
Yaaarabi tupe waume bora 🥺🙏🤦🏾♀️
2026-04-29 14:34:58
68
Jaqline Valens :
Mm ninachoamin Allah hawez kukuchagulia usipopapenda lazima akuchagulie sehemu iliyo sahihi kwako
2026-04-30 07:26:54
23
allywaziry105 :
@allywaziry105:JAMANI NDUGU ZANGU ISTIKHARA MUHIMU SANA ,TUSITANGULIZE HISIA TUNAUMIA HUKO MBELE ....ALHAMDULILLAH ALLAH ALINIJIBU JAPO NI KWA NJIA HASI ,NILIEMTAKA NA KUMPENDA SANA ALIONDOKA NA NIMEUMIA SANA LAKIN NILIMUOMBA ALLAH KAMA SIO KHERI KWANGU AENDE NA AKAENDA KWELI.........LAKIN NILIEMPATA ASAIV ALHAMDULILLAH KWELI ALLAH NI MJUZI WA MAMBO ,TUWEKE HISIA ZETU ZA KIMAPENZI PEMBENI
2026-05-02 18:51:44
7
khauraty jumaa :
shekhe nakuelewa sanaa tatizoo moyo 😭😭😭
2026-05-01 07:35:10
5
user72342637457118 :
Allah anijaalie mume aliye sahihi tukaelewana inshaallah
2026-04-29 14:50:42
29
❤️👌💦💦It's Neyfaty💦💦👌❤️ :
Mashaallah munguh ni mkubwah na anjua kila anachokifany inshallah
2026-04-30 18:02:44
6
Moha MBT :
mungu anijalie mke wema inshallah
2026-04-30 13:07:44
7
mafia girl😊 :
allah tujalie waume bora
2026-04-30 07:30:29
7
Nasrasumayya 2025 :
yaarabi nijalie mume mwema mwenye kher na mwenye kuwapenda wanangu inshaallaah
2026-04-29 21:29:43
10
zuber maana nguvu mpole jasiri :
ya Allah nijaliy mke mwema 🤲
2026-04-30 07:22:00
5
someone's dota💘💘💗 :
Subhana Allah subhana Allah Allahu akbar Allah anijalie mume mwema atakaye nipenda na mapungufu yangu,haya kablala ya umauti ee Ya Allah 🥺🥺🥺
2026-04-29 22:04:06
8
Masa Salma :
YAARABI nijalie Mume Bora Amiin 🤲
2026-04-29 16:41:00
11
jalia idrissa :
yaallah nijaalie mume mwema
2026-04-29 14:56:58
12
Abdulrahim Makini :
Anaekupenda kwa dhati muowe
2026-04-29 21:05:20
5
Sabrina salum :
eeeh mungu jmn utulivu wa nyoyo zetu tunaziomb
2026-04-29 15:11:02
9
isher :
ya Allah tunaomba walio bora🙏🙏🙏🙏
2026-04-29 20:01:47
5
mo_eli._ :
“Na huenda mkachukia jambo nalo lina kheri kwenu, na huenda mkapenda jambo nalo lina shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua, nanyi hamjui.”(2:216)
2026-04-30 11:56:37
6
To see more videos from user @abdulazizielajemi, please go to the Tikwm
homepage.