@raytechnologiez: Umejifunza?

raytechnologiez
raytechnologiez
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 April 2026 07:56:55 GMT
119351
4950
94
593

Music

Download

Comments

masktech101
MASKSER :
hiyo update time nyingine inakataa. fungua Terminal As admin . not cmd. then write winget upgrade --all this command ina update na ku upgrade to the latest version required for your machine.
2026-04-30 06:36:56
4
mashaurifrankjohn
Frank :
laptop yangu ina stuck mara kwa mara
2026-04-29 10:46:14
5
mrlyrics2026
Lyrics Master :
Kaka Asante sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-05-12 11:30:26
1
nobleman226
PM :
mim naomba njia ya kuweka playstore kwenye PC
2026-04-29 17:09:34
1
nyangoya_dsm
nyangoya_dsm :
What about windows 10, itakubali?
2026-05-03 03:53:17
0
yonamsabila
Tizer :
naomba msaada namna ya kuinstal microsoft word window10
2026-05-01 23:37:53
0
fazo.roxy
fazo roxy :
Mbona kwangu imekuwa hivi
2026-04-29 13:06:09
1
buildingdesigner12
OfficialJr12 :
hiyoo command mpak uwe online thank you
2026-04-29 14:44:46
0
noelus57
@noelus5 :
sasa baada ya kujibu kwa wakati ndio utengeneza video 😂😂😂
2026-04-30 09:41:52
0
eng_apolinary
Apolinary :
Mambo kwa ushahiiiidiu
2026-04-29 10:20:51
3
senser572
Kevin :
unaona hyoo
2026-04-30 10:22:13
2
de_djeasytz
dedjeasytz :
pc Ina takiwa iwe online au
2026-05-01 05:14:24
0
dblo_master
Diblo :
ukitaka hayo tumia linux distro
2026-04-30 15:13:52
1
ceasar219
Ceasars :
inatumia data
2026-05-01 11:55:00
0
mrluck975
mr luck97 :
Njia hiyo hiyo naweza update computer
2026-04-30 13:35:50
0
davin214.4
DAVIN :
daaaaah haki ya Mungu hukran sana imeubali
2026-05-06 13:45:54
1
nicoluskapufi
nak :
mimi sauti ya pc inazingua mpaka u restart kila wakati nafanyaje
2026-04-29 10:57:33
0
chimu1448
The Super Power :
kaka unajua
2026-05-11 04:05:04
0
mussapeter92
£MP746831∆ :
ni ajabu sana😅😅
2026-05-28 07:46:34
0
peter.son12tr
Aula :
Kwangu unagoma
2026-05-10 15:39:49
0
user38004958147
b.a.r.a.k.a :
jamani n ajabu sana...
2026-05-29 17:19:37
0
nassorish
nassor :
asantee
2026-05-31 06:25:00
0
mr.ridder2
Mr.ridder :
mimi nimefanya ile "letsview" lkn USB imekataa
2026-05-27 09:32:29
0
neyahuz
neyahuz :
nisaidie ku install Microsoft office zote
2026-05-30 18:50:10
0
allan.key183
ALLAN KEY 🗝️ :
kaka niandikie kwenye comment section code hizo
2026-04-29 11:02:40
0
To see more videos from user @raytechnologiez, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About