@adeemayahcollection:

AdeeMayah collection
AdeeMayah collection
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 29 April 2026 09:05:46 GMT
8890
635
5
656

Music

Download

Comments

thusalsalthu
thusal :
Kabla ya hatahiyatunya mwisho ya Swalatul Dhuha sujda ya mwisho baada ya kusema Subhana rabbi aala wa bihamdihi soma 👇 Rabbi zidni ilma warzuqni Fahima wayasirli fiy rizqi Ya baasit×40
2026-04-30 11:19:03
4
gamernot038
masala02 :
Sasa hapo kwenye kuhesabu mpaka 40 si nitapotea hesabu
2026-06-13 05:40:26
0
user29742181600460
zainab :
Assalam aleykum, sheikh please ñaomba uniandikie.
2026-05-31 03:55:47
0
abumahir81
Abu mahir :
shukran
2026-05-29 12:28:05
0
user4381303500668
Binti jei :
basi Mimi husema hiyo ya baasit mara 100, lakini baada nishatoa salamu , je pia ni sawa au nakosea naomba nijuze shekhe wangu.
2026-05-01 08:48:05
0
To see more videos from user @adeemayahcollection, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About