@sasibuying_area: 🔒 Simu yako, Faragha yako! Unajua unaweza ku-hide au ku-lock albums kwenye gallery ya Android bila app za ziada? 👀 Sio kila picha ni ya kila mtu kuona. Linda taarifa zako binafsi kwa hatua chache tu: ✔️ Ficha albums muhimu ✔️ Epuka mtu kufungua gallery bila ruhusa Hii sio tu feature—ni control ya data zako binafsi. Je, wewe tayari unatumia hii trick au bado? #AndroidTips #PrivacyMatters #TechTZ #GalleryLock #DigitalSecurity
Sasi Buying Area
Region: TZ
Wednesday 29 April 2026 19:24:04 GMT
Music
Download
Comments
MAX MAIZO :
saww
2026-05-28 10:36:23
1
chollo masta 🗝️ :
tupoo apaaa jaman timu pixel mkoo wap jaman 🔥🔥🔥
2026-04-29 20:35:12
7
Naftal :
Kaka mimi ni mmoja wa watu wanaokufatilia sana kaka pamoja sana
2026-05-16 19:30:03
1
G. Maddy x :
je, ukigusa *removed from essential album* unarejesha vipi?
2026-05-06 18:12:11
0
@Bullet_tz :
2026-05-10 06:15:40
0
𝔇𝔢𝔫𝔳𝔢𝔯 𝔧𝔯✍🏽 :
Kaka samahani ni App gani nzuri ya kuangalia bettery health? kwa upande wa Samsung
2026-04-30 06:26:42
2
zaynul a'abidiin salim🇹🇿 :
mbona kwenye file menej bdo unaona izo video na wakati umelok galary
2026-05-20 03:46:09
0
Africana :
Vp kuhusu Motorola edge 23
2026-05-24 15:51:59
2
kingsley_chichi :
Owa broo nionyeshe namna ya kuvideo screen record
2026-04-29 20:48:23
2
fidoo :
kk mbn gallery yangu haitaki ku acses photos
2026-05-17 10:08:15
1
Boy from Tanga 🔞🇹🇿 :
kwa Google na ss
2026-05-16 17:28:27
0
Vedastus Thomas :
heshima kwa android
2026-05-08 08:43:23
0
Mohamedi NjoloTz :
na message vp kaka
2026-05-08 22:40:39
0
mazurui :
mshamba ww kitambo sanaa tunaijua iyo
2026-05-02 16:15:39
0
mlatino :
si mnabrand sana iphone
2026-05-11 09:52:29
0
Johanes Matiku :
haya mambo nitamkumbuka huawei😂😂 alikuwa na kitu kinaitwa AppLock Ile simu ina security si mpaka u download apo
2026-04-30 05:17:38
0
suleiman@ :
mbona kwenye file menej bdo unaona izo video na wakati umelok galary
2026-05-15 09:31:47
2
IT'S_KEVOO✅️ :
Waelekez ya kutengeneza folder kweny file manager itawasaidia sana
2026-04-30 07:51:14
0
RogersTz💫✨ :
mm apa
2026-05-02 13:35:36
0
🅂🄴🄻🄴🄼🄰🄽🄸 :
Heshima kwa android
2026-05-07 21:24:47
0
jamila :
tupoooooo
2026-04-30 13:14:40
0
Aisha selemani :
unaga sim zaela ndogo
2026-05-01 13:58:14
0
Issa Bakar :
mm naitaj kujuwa km umetumiwa msg whatsap alafu alotuma akaifuta nataka kujuwa vp unazirejesha
2026-04-30 16:42:32
0
paschal💫💫💥 :
me sm yangu ni.mpy lakn ingomq kutap tapu
2026-05-09 10:57:44
0
To see more videos from user @sasibuying_area, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.