@emmanuelabel0: weka comment semaaaaaa simbaaaaaaaaaaaa #simba

Emmanuel Abel Mwasifiga
Emmanuel Abel Mwasifiga
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 April 2026 20:40:29 GMT
135482
10316
471
139

Music

Download

Comments

msabinho11
melick msabinho :
hakika upendo wa kweli utoka moyoni imagine simba sport club Ina misimu minne ajabeba kombe lakini mashabiki bado anamzidi mpinzani wake, namalizia kwa kusema naipenda simba ❤️❤️hata mashabiki wote wakihama nikabaki pekeangu
2026-05-02 11:40:27
375
naffy_mo
naffy_mo :
Yaani mashabiki wa Simba ni bora sana
2026-04-30 05:36:47
326
smartkaka0
flopizzoflorence :
uzuri wa simba tushinde tusishinde vibe lile lile tu, hatuna habari wala nin
2026-05-01 19:35:17
244
minnah_11
@moma_0110 :
tunaipendaa simbaa kuliko wanavyojuaaa😂😂😂😂
2026-04-30 19:48:53
99
nataliasamuel826
Aaliyah gone :
watu wa dar wanaenjoy sana jamn😁
2026-05-04 11:44:45
38
kimario_nf
Kimario :
Mungu nipe uzima nione Tena simba day
2026-05-01 19:25:03
90
sheridakasei
Sherida Kasei :
jamani hao wote mashabiki wa smba 2
2026-04-30 09:27:02
41
asha.ramadhani070
🇹🇿 ✈asha.R.W1 🇴🇲 :
sijuj nielez vip kuhusu kuipenda simba
2026-05-01 14:12:30
19
user6007872166573
aloisia peter :
kushabikia simba raha san
2026-05-01 08:10:05
13
abdulbach2858
abdulbach2858 :
Makolo hii ndio furaha yao
2026-05-05 10:02:51
5
zakaria.salehe3
Zakaria salehe ♥️🇹🇿🇹🇿 :
wenzet vipi walijadiliwa na ledio malia
2026-05-01 13:23:07
12
user7256181981259
Dogo TA10 :
anaye ipenda Simba zaid yangu anabid anipe like apo
2026-06-07 13:44:51
6
astro0797398130
💲Dieg🧠Thiag☠️ :
🔥🔥🔥Simba nguvu moja🔥🔥🔥
2026-04-29 23:28:04
5
m_costantine
Roz :
nmegundua Kwa Sasa watu wanapenda simba kuliko hata mahusiano yao😂I love simba than my relationship
2026-05-02 11:46:30
12
user42311884304128
teenah22 :
simba ilio kosa ubingwa 4 years nyuki kama wote je ikibeba ubingwa simba forever 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-04 11:10:21
11
rebee021
Cute aurora❤️♈️🥰 :
Simba world wide ❤️🦁
2026-05-05 15:23:04
6
officialzabby1
officialzabby😘 :
hakuna wa kuipiku hii simbaaa❤️❤️❤️❤️❤️
2026-05-02 10:48:34
7
ishawajef14
jike lasimba :
simbaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-05-06 05:34:53
5
sumag333
Suma G :
Simba rahaa alafu sisi sio wanafki tuna ipenda timu yetu kweli kweli sio wale vyura
2026-05-05 08:47:17
6
setup_username0
💕Mary da cute💕 :
Acha makombe wachukue wao sisi tubaki na furaha ambayo wao hawawez kutufikia🥰hii siku nilikuwepo sitasahau🥰🥰 NAIPENDA SANA SIMBA YETU
2026-05-01 17:01:57
8
eliambise1
Mbise elia✌️✌️ :
this is simbaaaaaaaa
2026-05-30 23:40:51
2
hallyjohnxon
️ :
10/10
2026-05-04 21:20:13
0
mwanakareem655
Mwana Kareem :
Kusema ukweli me naipenda yanga sana at km atuna umoja km nyinyi
2026-06-02 08:01:39
0
To see more videos from user @emmanuelabel0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About