@marcus_bebee_45: Replying to @marcoalfred9 kuna watu uja maishani mwako ili kukujenga ili uwe mtu bora siku zote za MAISHA yako ukiumizwa na MAPENZi yawe sehemu ya kujifunza ili usikosee tena kwani MAUMIVU ni UPENDO uliokosa MATUNZO kwa ANAEKUPENDA jifunze kupitia MAUMIVU ili kesho uwe na FURAHA yakudumu __!! USHAULI sio SHELIA 📌🥰🙏
🅱️£🅱️££45 ⛎
Region: TZ
Wednesday 29 April 2026 21:49:05 GMT
Music
Download
Comments
Vinicius Vini :
Mimi niliumizwa sana na mtu nimpendaye na mpaka kwa Leo sijawahi pona 🥰🥰
2026-04-30 05:39:13
12
momy ruh :
kaka nahitaji moja
2026-05-31 11:32:01
0
mumy charity💕💕 :
mapenzi ni kitu kibaya sana maumivimu yake huwa ayaelezeki
2026-05-01 05:20:27
3
first lady ♥️♥️ :
nifanye moja 🤲👏🙏
2026-05-13 18:03:26
0
ustani :
kaka nime ku follow nakila siku naku like nipe mojo ya kuwa na mpenzi wambali
2026-04-30 07:56:09
6
Michale :
asante san kwaushar Kaka nakukubali
2026-04-30 17:36:39
0
Linah Isack :
toka nianze kusoma komenti karibia wote mmeumizwa sasa na mimi nakoment nn na mimi poa nimeumizwa
2026-04-30 06:11:44
4
chaupole zuu :
duuh inauma
2026-05-28 05:57:05
0
kulwa bufufu :
kaka nimekufollow nipe moja ya mpenzi wangu anivumilie
2026-05-03 21:50:14
0
minah :
fact
2026-05-09 17:45:06
0
Uwimana Deborah :
Kweli kbs
2026-05-17 22:27:49
1
Caroline Muhonja :
very true
2026-05-01 14:06:30
0
Mehmet bey :
kaka nimelike snaaa na nimkufollow mda tu fanya Moja basi naumizwa tu
2026-05-09 19:16:09
1
officialsaid :
bloo nakubali
2026-04-30 18:43:05
2
Zacharias :
nakubali sana bro naomba uni tag
nitafurahi sana 👍
2026-05-01 14:12:01
1
cereen vahaye :
lazima nikupe like
2026-05-28 11:47:33
0
Aisha shaffyshaffy 💔💚💜💦 :
inaumaa sana
2026-04-30 05:26:19
3
bigbro tajili 2 :
😒 hmmm
2026-04-30 05:11:44
3
Gaspard Jures :
brother moja kwajili yangu nimeachwa na mpenzi wangu ambae na mpenda zaidi
2026-04-30 02:38:30
2
mjukuu wa mzee njoroge :
cha kunipa stress kwa sasa labda pesa tu but mapenzi ziiii nipo upande wa nakupenda pia
2026-04-30 19:14:01
3
Ferous Omary Omary :
duuuuh noma sana yaani mapenzi jau
2026-05-03 18:53:45
1
Pancho🍁 6!!!x🩸🍁 :
Nipe ya Neymar kaka 🤘
2026-07-11 07:18:18
1
Ropau.mc🎧 :
nakubali
2026-07-12 04:27:17
0
Husnat Omari :
Kaka nimekumekufollow nitengenezee moja ya kuzulumiwa pesa na kukataa tamaa ya maisha
2026-07-11 17:06:59
0
side_bukavu olise :
ikowazi
2026-04-30 06:37:19
0
To see more videos from user @marcus_bebee_45, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.