Whats wrong nkitumia miaka 7 kutengeneza my empire? As long as my business keep running shida iko wapi? Still nadunduliza na mda haunisubiri, energy drains kama una uwezo wakufanya mambo ma3 in a single pharse keep pushing.
2026-04-30 22:13:34
22
usercfx247 :
Wakati unakusanya hiyo pesa, bei ya kiwanja na tofali zitakua zinakusubiri?
2026-06-03 18:02:56
5
yuzoo :
hata biashara hufilisika so jitahid kufanya unacho kiamini kwa wakati huo
2026-06-09 06:42:00
0
Abdallah :
maisha hayaendagi sawa kila afanye anachoona kinafaa mimi kuna jamaa alijenga lakini hajawahi miliki hata laki moja toka kiwanja, sasa unatarajia kwa hicho kipato chake ulitarajia afanye nini ila leo anaishi kwake so kila aendeshe maisha yake hapa duniani wote niwageni so kila afanye anachoona kinafaa
2026-06-04 10:52:58
5
chaxy01 :
Hela yangu unipangie matumizi? Noh
2026-06-03 11:27:26
6
user8763323540435 :
swali namuuliza yy anaishi kwenye nyumba au kwenye biashara?
2026-06-09 08:11:24
0
Bri :
maelezo mengi sana point kidogo.
2026-05-31 22:12:20
5
reggan🧸 :
Smart minded🔗
2026-04-30 07:43:33
1
Faraja beauty 🦋🦋 :
naelewa sana hii! zaman nlkua kama nyinyi,muimu Kuwa na vitega uchumi vingi
2026-06-08 21:01:57
1
Ben Lashes & Nails Studio :
ndio maana nawekeza capital yangu yote kutengeneza biashara zenye cash flow ... goal ni kuhakikisha cash ipo ya kutosha kila siku , siwezi kwenda kupark million 30 while naweza kupangisha nyumba ya 200k huku naanzisha biashara ya kuniingizia hata laki mbili kwa siku
2026-05-11 08:25:38
3
obertonails :
Ongea point chapu nataka nicomment niondoke
2026-06-10 12:24:05
0
gfayafayamsechu :
hapa kaongea sanaaa yan
2026-05-01 16:57:00
1
psm :
hatuna mengi lakin kwa mm naomba huyo mtaalamu wa uchumi akawe live nitakua na cha kumuuliza kuhusu uchumi huo huo maana wengi tu tunauchua hata kwa kusoma pia.kiufupi hayuko sawa point zake.
2026-06-07 12:13:16
0
aggy :
mnazunguka tyu
2026-06-05 05:25:01
0
Zubeda Mohamed :
yeye ana nyumba
2026-06-04 20:58:11
0
venancemgosi :
Jengeni nyumba wakuu msisikikize washauri
2026-06-04 18:17:06
0
Erick Ford :
OPPORTUNITY COST!!😁
2026-06-03 17:11:49
0
Getaba Hanje :
makazi ni muhim sana, jenga kidogo kidogo huk unaendelea kutafuta. vinginevyo utaishia kupanga
2026-06-12 05:34:59
0
Yule wa kawaiada 0g :
fact
2026-05-22 12:23:28
0
missjacky40 :
Ząb
2026-05-02 20:17:59
0
the shirani black man :
ukielekezwa nakila mtu unspotea
2026-04-30 18:06:53
9
OB :
incase he don't huko USA watu wanalipia morgae kwa miaka 30 hadi 40,huku mtu kajidunduliza kwa miaka 7 au 10 unaona katumia hatua ndefu guys pleass
2026-05-16 21:53:24
2
mussakayunikaringa91 :
nafanya ninacho jisikia bob pesa ni yangu
2026-05-25 10:31:22
1
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.