@woxkies_: Mpango wa kununua gari la milioni 100 part 24

Woxkies
Woxkies
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 April 2026 12:09:00 GMT
500356
27683
401
1332

Music

Download

Comments

nouriyatt_kitchen
it's me 🖤🦋 :
ukinunua Gari la million 100 nitakufollow😌
2026-04-30 14:07:05
278
kipat_kithu
Pato :
Conversion; 1,600,000 x 0.0496 =Kshs 79,360.
2026-05-13 19:30:25
13
home_boy10
Man from songwe :
sema uzuri wako ukisema jambo unafanya na unajaribu respect sana
2026-04-30 13:00:13
210
axelmaxs
axe :
Did you lie to us or something?
2026-05-07 11:33:56
11
mzungu_pikipiki
Mzungu_pikipiki :
ungeipata iyo milioni 100 ungeona comments na DM za vidada zingejaa😅
2026-05-01 14:51:59
43
mtende_12
Law__112 :
Ulipotea sana broo rulikumiss
2026-04-30 12:12:54
93
surrendertojesus
Sarah Jonathan Mgoha :
nani anamuona kwa mara ya kwanza kama mimi na amemkubali?
2026-05-03 08:37:49
58
makini_paul
makini_paul :
mwanetu usisite kushusha content mpaka gari lipatikane💯
2026-04-30 12:35:56
32
happinesses77
happiness :
et mama angu anaangaika kila sk anataka apande matikiti apate 25M natamani mama angekua karibu nimuoneshe hii video
2026-05-06 07:55:37
13
werema149
werema149 :
kaka mtaji ulitumia shingap😅
2026-05-03 17:53:59
7
ericknazarius
Erick Nazarius :
we jàmaa unaniinspire sana though ni content lakìn unafanya😁
2026-05-04 05:03:20
7
hamdankathira
Hamdan Kathira :
Madalali Shuwani sana, halafu Faza nae kicheko chake sijakipenda kabisa😁
2026-04-30 13:21:05
20
mara895627
mara💞💞 :
energetic
2026-05-05 18:29:35
1
bsanmaster
™ 🅱 197 :
Ila we Bro, naanza kukuchukulia Serious kumbe una To content kwa vitendo nimekubali broo🙌
2026-05-03 08:10:47
8
solotov_makrov
꧁☠︎𝙀𝙣𝙧𝙞𝙦𝙪𝙚꧂ :
Oyaah Saiv Tunamuangalia Mwanetu Km Anachekeaha Ila Cku Atanunua, Mungu Akusimamie Kiongozi
2026-05-01 00:17:40
9
miss_nillyx01
Nilly @859 :
Leo ndo mara yangu ya kwanza kuona positive content km hii Mungu akubless kwakweli
2026-05-03 07:29:44
16
inaarabeeating
Inaara Ramji 🇹🇿 :
Ipooo sikuuuuuuu
2026-05-02 00:10:34
7
guzmn.chapo
Guzmán Chapo :
Nomaa
2026-05-08 10:04:13
1
all_you_need_shop0
ALL_YOU_NEED_SHOP🛍️🛒 :
Ila mkuu una ideas knoma. Much respect 🫡
2026-04-30 12:21:04
6
agii.r
Esher… :
Nmekupenda bure hasaa kwenye kuku🥰
2026-05-08 09:42:04
1
msabato2026
Kalebu fanueli :
weee
2026-05-02 22:11:34
1
swety_babe
swetty :
mimi sijapenda faza kacheka vibaya jamn 😁😁😁
2026-05-06 17:00:07
4
hkboutique02
HC Collection :
ipo siku😂😂
2026-05-01 23:50:12
0
ibrah.301
ibrah😎 :
mzee mpk sasa najua ishafika million 70
2026-04-30 12:30:06
4
To see more videos from user @woxkies_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About