@islamic_rihla: Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa hekima ya Allah wakikamilishana. Kila mmoja ana nafasi na mchango wake si kushindana, bali kusaidiana katika kujenga familia yenye utulivu na jamii iliyo imara. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamicreminder #dawah #islamicvideos #allah #quran 🟠