@muuh_furniture: Sofa Set Classic Capacity: 2:2:1 Muonekano wa kisasa unaoongeza hadhi ya sebule yako Inakuja na ubora wa hali ya juu, imetengenezwa kwa fiber na spring kwa uimara na faraja ya kudumu Viti laini na imara, vinavyokupa comfort ya kipekee kila unapokaa Design yake ni classy na inafaa kwa mapambo ya aina yoyote ya ndani Ni chaguo sahihi kwa nyumba yako, ofisi au apartment Inadumu kwa muda mrefu bila kupoteza ubora wake Bei: 750K Available now – usikose nafasi hii Tunafanya delivery popote ulipo 🚚 Wasiliana nasi sasa kuweka oda Calls:0795325436 #muuhfurniture #ModernFurniture #FurnitureTZ #ClassicSofa #ClassicSofa