@tangawizipori: Mwanamke ni usafi! Lakini usafi huanzia ndani, sio kwenye manukato unayopulizia nguo zako. Kama unatokwa na uchafu wenye rangi, harufu mbaya, au unahisi mwili wako umepoteza msisimko wa asili, huu mchanganyiko ni kwa ajili yako. MAHITAJI: 1. Tangawizi: Huamsha mzunguko wa damu na kuondoa sumu. 2. Kitunguu Saumu (Punje 3): Ni Natural Antibiotic—inaua fungus na bakteria wabaya. 3.Maji ya Vuguvugu & Asali: Kurudisha nishati na pH ya asili. ANDAA HIVII Twanga kitunguu saumu na tangawizi, kisha roweka kwenye maji ya moto kwa dakika 10. Chuja, ongeza kijiko 1 cha asali mbichi. Kunywa glasi moja kila usiku kabla ya kulala kwa siku 5 mfululizo. KWANINI HII NI MUHIMU? Mchanganyiko huu unasafisha kuta za kizazi na kuua vijidudu ambavyo vimekataa dawa za hospitali kwa muda mrefu. Utaanza kuona mabadiliko kuanzia siku ya pili. 📌 Huwezi kupata matokeo haya kama tatizo limekuwa sugu njoo inbox