@dr.stanley32: Mzunguko wa Hedhi Usiothabiti: Changamoto ya Hormoni na Athari Kwenye Ujauzito. Tunazungumzia changamoto ya mzunguko wa hedhi usiothabiti ambao unabadilika kila mwezi. Tunaeleza jinsi mabadiliko ya hormoni yanavyoathiri uwezo wa kubeba ujauzito, na jinsi kutokuwa na mzunguko thabiti kunaweza kusababisha mwanamke kushindwa kutambua siku salama na siku hatari. Tunasikiliza wanawake wasiojua kuhesabu vizuri mzunguko wao wa hedhi, hasa wale wanaotumaini kubeba ujauzito, kuomba msaada wa kimatibabu ili kutatua changamoto hii ya mvurugiko wa hormoni. #MzungukoWaHedhi #HealthyPeriod #HormoniBalance #UjauzitoBora #AfyaYaMwanamke

Dr Stanley🇹🇿|+255764419980
Dr Stanley🇹🇿|+255764419980
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 April 2026 14:32:15 GMT
520196
12562
642
760

Music

Download

Comments

felisterderic
Mama stede🥰❤️ :
Ndio mimi kabisa kila mwezi tarehe nyingine lakini napata mimba vizuri tu
2026-05-08 16:53:44
18
user31837234260957
oliva juvinaly :
Eeeeee mungu mbn mm ndoo changamoto yangu jaman
2026-05-01 12:32:39
44
christinaponera88
Christina Ponera :
mbn mi naenda mwez malambili
2026-05-03 06:06:39
11
user7227828748331
user7227828748331 :
ata mm nipo hvy naomb ushaur
2026-05-02 17:25:09
39
user4388750345394
Jay maa :
Kaka naomba nisaidie
2026-06-28 11:59:25
1
christinachaina
Christina Chaina :
naomba nisaidie tarehe zinabadilika kila mwezi
2026-06-02 16:29:20
0
estaelngamxhe
Estael Ngamxhe :
kaka jaman naomba unisaidie zakwangu zinabadilika badilika
2026-06-14 19:59:17
0
neemaagustine
neemaagustine :
NAMI nisaidie
2026-06-25 20:31:44
1
fredrickojin
Miss Ęujo :
nisaidie nina shida
2026-06-08 22:32:23
1
user30137351527660
Asha mohamed :
nmm pia
2026-06-23 19:47:28
1
user8665941302183
kavira Florence :
mimi naingiya piriodi kumwezi moja marambili mwezi wa 4niliona piriodi tarehe30 tena mais tarehe 27
2026-05-29 12:21:57
0
user822313293192698
la fille de Pacifique :
naomba unisaidie maana kila mwezi tareh zina badilika
2026-06-07 20:46:13
1
lasty8540
Lasty :
Nko Na hiyo shida🥰
2026-06-22 20:12:05
1
ester.chidundo
Ester Chidundo :
kaka nisaidie mimi nipo ivoivo
2026-06-08 09:50:05
0
user4199082000865
jhanak kamona :
naitaji sana musada yako
2026-06-17 22:15:37
1
user4906861403323
nabintu rihta :
ukowapi
2026-05-22 14:50:39
1
msumbufu.jdy
Msumbufu Jdy :
Na kuenda 15 next month 16 next month 17 nex13 hii ni poa ama
2026-05-27 13:32:38
3
user38068251116591c
👉 CarenEsther :
mimi
2026-05-05 14:39:52
1
user5614223861921
Aishaibra :
tuelekeze
2026-05-03 09:33:58
1
husnajuma282
hafsa juma :
mm.apa
2026-05-01 17:38:02
1
user6163435661814
huznas :
mm pia nabadilish nisaidie
2026-05-27 12:04:00
1
user91819887827334
BÉBÉ :
jambo kaka ni saidie sana
2026-05-03 22:11:45
1
user7565821083226
Zulfat :
Mm hapa kila mwezi na tarehe yake had nimezoea ila natumia hiyo Calendar.
2026-05-01 11:38:56
2
naina.ally3
naina ally :
mwez ulopit nimeingy tarh 1 mwez ila mwez huu nimeingy trh 10
2026-05-17 08:30:51
3
mwajabuseif245
FLAVIUS :
nisaidie mwez wa 4 nilipata 14 mwezi wa5 nimepata 16
2026-05-16 16:07:38
2
To see more videos from user @dr.stanley32, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About