@ms_caren: Sitawafundisha kila kitu hii nayo imemaliza yote 🙌🏾🙌🏾 Anza kujiwekea mpango wako wa kustaafu mapema ili usije fanya Watoto wako kua mpango wako wa kustaafu!! Disclaimer: Huu Sio ushauri wa uwekezaji; Fanya Utafiti wako binafsi au wasiliana na mshauri wako wa masuala ya fedha na Uwekezaji. Tuendelee kujifunza pamoja. ##reenytalksfinance #smartinvesting #financialeducation #viraltiktok #fyp
Reeny talks👩🏽💻📈
Region: TZ
Thursday 30 April 2026 16:06:44 GMT
Music
Download
Comments
Dylanic :
Miaka 30 ya kazi au??
2026-06-23 03:46:02
1
D A N I L O ⚽️ 🔥 :
Nipo lakini sikua napata laki kwa mwezi yakusave babu 😅😅 30years mingi
2026-06-22 15:17:28
1
temba :
iyo miaka 30 mnayopanga mnamiadi namungu
2026-05-04 09:00:26
6
Hazel🦋 :
Nakupata wapi babaangu omelets sana me natammaani nianze mwezi wa sita. Huu 2026
2026-05-29 11:30:23
1
Buzinza Jr :
nimependa nawezaje, kujiunga
2026-05-24 08:34:31
1
chief jj :
hizi story bhana
2026-05-29 17:50:55
0
@Dede 009 :
kaka teach me
2026-05-22 11:43:23
0
Solo :
✌️✌️✌️RBB(Rich Billionaire Brothers)
2026-04-30 17:35:27
2
💔FadedLove📃Tales :
je thamani ya pesa hio 300M itakuwa na hio thamani kama ilivo sasa??
2026-05-03 21:16:49
2
Martha Tevely :
uongo
2026-05-02 02:34:55
1
MinderGrowthLab | Ads & AI :
Kwenye mfuko gan??
2026-05-02 15:14:35
1
96Hance :
mm n mtumishi naitaji kufanya hivi naanzaje
2026-05-03 06:20:49
2
Joshua👐 :
je ukaweka kwa miaka 5
2026-05-02 16:54:39
1
Glory :
Sijui ka ntakuwepo TATIZO LINAANZA HAPA.
2026-05-02 19:08:49
1
agnutritiontanzaniaa :
nahitaji Muongozo zaidi
2026-05-22 20:20:41
0
samasamar :
Hizi hesabu za mezan na kwa mwekezaj ni uwoga miaka 30 brother apo usha staafu
2026-05-21 17:38:50
0
yasr_jamal :
😂 odd 100 je😂
2026-05-22 18:00:22
0
Adam05 :
miaka 30 unajuaje kama utaifikisha, afu hiyo miaka 30 ikifika hiyo milion 300, itakuwa na thaman ya kawaida
2026-05-10 07:18:37
0
Ian :
Ukifa je
2026-06-01 11:33:50
0
To see more videos from user @ms_caren, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.