Allah awafanyie wepesi nyote mlienda mbali kutafuta kwa ajili ya familia zenu
2026-04-30 16:36:00
1840
MIMI KAMA WEWE :
Acha kuuzia watu uwoga rizki inatoka kwa mungu hta kama unafanya kazi ya kuokota mavi ni kazi pia
2026-05-01 02:58:39
232
rizikisalim :
hapo omba Mungu usishikwe na tumbo la kuharisha usiku walai
2026-04-30 21:36:25
487
💗Bloomie💗 :
kama umewahi kusoma shule ya boarding utaona haya mazingira ni ya kawaida infact this place is clean, ppl who've been to this skls understands me well, nywy maisha nikupambana
2026-05-01 06:26:24
277
Abu Huda :
BADO UPWEKE HUJAWAMBIA, VYAKYLA VYA OVYO, MAKAZI MAGUM, MISHAHARA MIBOVU
ILA ALHAMDULILAH TUNAPAMBANA
2026-05-01 13:50:04
175
Half Albeity Half Amazing :
May Allah make it easy for everyone Ameen ya rab
2026-04-30 21:53:07
226
The_preety_baker :
now I respect my man❤️❤️❤️❤️
2026-05-02 09:22:15
14
ummu jamal :
Allah awafanyie wepesi wanaume wote wanaopambana kwa ajili ya familia zao
2026-05-01 04:08:15
22
🦋❣️Mamy❣️🦋 :
Allah awafanyie katika utafutaji wenu wa maisha🤲
2026-04-30 17:22:33
63
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
choon na kijikon kama safari ya dar to tanga mjini🥰🥰🥰
2026-04-30 20:58:47
40
Muggle :
MAISHA YA TANZANIA NI RAHA KABISA ... ILA NDIO SISI TUNAYAHARIBU🥺
2026-05-02 20:34:56
7
MAMA FATHMA :
Alhamdulillah 🥺❤️
2026-06-14 07:19:15
5
💕💕nassim narkish🤍💚💙 :
poleni kwa kila mpambanji outside the country Allah awape subra awajaalie nguvu na awape uvumilivu kwenu nyote much love 🥺🥰ndugu zetu
2026-05-02 05:14:13
11
Chronic 🐝 :
Pakukaa pawe patakavyo kuwa as long as waeza pray,job ipo na salary inaingia end month.Kweli life letu ndio hili lkn tukifocus vzr tutatoboa kwa uwezo wa ALLAH
2026-05-05 10:25:55
7
Free Palestine🇵🇸🍉 Pray4GAZA :
ALLAH AWASIMAMIE, HASBUNALLAHU WANEEMAL WAKEEL 🤲
2026-05-12 21:58:59
5
Esses_Henna :
Allah awafanyie wepesi katika utaftaji wenu wa rizq,ameen
2026-05-01 16:31:03
7
Al Misbah Shariff Khalifa. :
Mungu atufungulie milango ya kheri na atupe mwisho mwema Aamiin
2026-05-01 22:08:08
5
ibrahsadio26 :
Kila penye uzito kuna weps bc usiwe na shaka na manno ya Allah Allah hakosei wala hamtaki mmja wake mazito Allah awafanyie wps Inshaallah 🙏
2026-05-02 08:16:39
6
¥oung wise :
kam ww umewez na mwenzio ataweza BIG UP BROOH(subra)💪
2026-04-30 21:58:21
70
traveler ✈️🧕 :
halali rizq 🥰..... shafaqllah Yaa Akhiii🙏
2026-05-01 03:15:05
6
ZUHRU SALUM :
Allah atuhifadhi inshaallah
2026-05-01 15:46:31
5
N❤️’ :
Alhmdullah, leo nimeamkaaa na somo kubwaa snaa .. Ahsante kaka , mungu azidi kuwapaa subra mufanikishee kila ndoto zenu Amiin🤲🏽 ijumma kareem❤️
2026-05-01 05:58:19
18
Josemko :
kama Kuna mtu anaamimi ataweza like hii comment
2026-05-02 07:27:37
8
Husna begam3 :
Alhamdulilah. ni ngumu ila allah awafanyie wepesii katika mihangaiko yenu.
2026-05-01 05:57:42
7
chibaby :
Mtatoboa muhimu subra 🥰
2026-04-30 20:19:48
13
To see more videos from user @bwamstyle, please go to the Tikwm
homepage.