@studentconnect_tz: ELIMU NI ZAIDI YA CHETI Tumepiga stori na kaka mkubwa kutoka Clouds Media, Farhan Kihamu, na ujumbe wake kwa wanafunzi wa chuo ni mmoja tu: Usikifanye cheti chako kuwa kikomo cha ndoto zako. Dunia ya sasa inatafuta "Value" (Thamani) na sio karatasi pekee. Farhan anasisitiza kuwa kila mwanafunzi ana kitu kikubwa ndani yake—kipaji au ujuzi—ambacho kiko nje ya kile anachosomea darasani. Ni muda wa "kujitafuta" na kuamsha kile kilichojificha. Tazama mahojiano kamili kupitia YouTube channel yetu ya Student Connect kujua jinsi ya kuanza safari yako nje ya taaluma. Link kwenye bio #StudentConnect #FarhanKihamu #Kujitafuta #ElimuNaUjuzi #VyuoVikuu

Studentconnect_tz
Studentconnect_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 April 2026 17:56:53 GMT
37460
2290
31
59

Music

Download

Comments

s.w.e.d.y9
↜↜↜𝒔.𝒘.𝒆.𝒅.𝒚☘️☘️ :
1) mungu 2) kazi 3) akili 4) kuamini 5) kukutana na watu sahii
2026-04-30 20:09:58
34
ajuwayeeriazari
@elia's the son :
i concur with you
2026-05-01 03:36:29
1
bably918
Bably msomal :
Mafanikio ni wakati ambapo juhudi inapokutana na fursa. ilaaa juu ya yote hamna Mafanikio bila ya Mungu. kila mtu Mungù kamuandikia njia yake
2026-05-01 10:58:15
4
user7055812553292
Afro american creator :
100%
2026-05-02 14:19:32
1
10allalone
BACKBENCHER :
akili sana
2026-05-01 12:16:19
1
netwon.1
netwon 1 :
sahii sana kiongozi 👍👍👍
2026-04-30 19:25:06
2
user3991560087408
son@ngelela :
uhakika
2026-05-16 17:36:40
0
nelly.john96
Nelly John :
kama unaamini mungu anatengeza njia gonga❤️
2026-05-11 06:17:01
1
wazirymohamed
Waziry mohamedy tz :
sahihi
2026-05-01 06:32:20
3
blacqcomics
Blacq-comics :
kweli
2026-04-30 20:52:18
1
mgazaevance
Mizzo jr :
kweli kiongozi
2026-05-01 12:54:07
1
cathee888
cathee :
duuuh 🥹🥹 sawaaa kaka
2026-05-02 12:36:52
0
youngjuxi
young jux :
hiz ndo nguvu za mafanikio unajua 👊👊🫡
2026-05-02 13:50:32
0
ellyjr44
ELLY PETRO :
sema mna wasema sana sas wasisome
2026-04-30 21:07:49
2
mitwetz
Mitwetz :
Cheti sio maisha wakuuuuu
2026-05-01 03:56:28
1
habib_mtandika3
@habib_scents :
🔥🔥🔥🔥
2026-05-01 19:58:28
1
elocien_ggmu
ELOCIEN GGMU🤏😎 :
🔥🔥
2026-04-30 22:30:59
1
To see more videos from user @studentconnect_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About