@kawanga18m: AHSANTE SANA E-FM🙏#kawanga18m #prank

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 April 2026 19:01:31 GMT
1515828
63966
784
1577

Music

Download

Comments

rajigull.pweza
Rajigull Pweza :
UNGEFANYA KWA JILI YA ALLAH INATOSHA
2026-05-01 03:22:55
361
nassamawe1
nassa mawe :
Mi binafsi kijana mwezangu endelea na comed misikitini kuna shida kubwa sana hakuna uhalisia wa maisha
2026-05-01 04:17:55
250
jafarhussein43
Martunis Muyasari :
Shekh haya unayopitia ni ile kuacha njia sahihi ambayo Allah amekuchagulia na kwenda kutaka maslah pana hata ungekaa kwenye dini muda ukifika rizk Allah analeta tu kikubwa ni subra na kushikamana na twaa yake Allah subhaana huwataala,rudi kwenye msingi bi idhini llah,Allah atakutengenezea in shaa Allah, Alkamal lilah,wabillah taufiq
2026-05-01 06:29:49
235
maulid.juma08
Maulid Juma :
subra imekushinda shekh
2026-05-01 04:29:38
156
sokonispicesherbs
Sokoni Spices & Herbs 🌿 :
Huku Soma Dini Lilah ndo maana Allah amekutoa katika kheir yake ya daawa Itaqillah na urudi kwenye haq
2026-05-01 02:16:17
237
nindagie.123
Nindagie @123 :
safi kawanga
2026-05-03 18:34:39
2
habibylilabad4
habibylilabad4 :
ww utateseka sanaaaa huoni haya kuhadithia
2026-05-01 03:52:44
58
issahamis42
Issa Rajabu42 :
Njaa mbaya sana ndugu zangu
2026-05-01 04:52:47
77
mistersalum
mistersalum :
walimu wengi wa madrasa wanamaisha magumu sana na bado wazazi wa watoto wanawasema vibaya bora kijan mwenzang ulivyojiongeza, mungu hajatuumba tuje tuteseke 💪
2026-05-01 08:32:11
80
traveller191319
Time traveller :
Hata kama utafanya kazi nyengine hakikisha unaendelea kufundisha
2026-05-01 05:15:09
95
meddykigwama112
Meddy Kigwama :
hakuna subra kwenye njaa
2026-05-02 01:58:10
32
ramakitendo6gmail.com
rama kitendo :
mwenye kuitaka dunia mwenyezi mungu huumpa kiasi aatakacho
2026-05-16 14:09:23
14
mysunrati
SUNRATI :
manshallah unapambana sana Allah akujalie heli katika maisha yko bsi uwe mwalimu wngu
2026-05-01 05:09:43
38
dhulqifly
Dhulqifly :
Ni Allah pekee ndiye anayejua mwisho wetu Allah tunaomba atuongoze na atupe mwisho mwema(Husnil khaatimah)
2026-05-02 03:58:02
18
aisha.liujira7
Aisha Liujira :
kama we muyao weka like
2026-05-25 19:40:59
7
abdulraufdaudaiju7
abdulrauf Daud ijugo :
alitaka kuwa fasiq huyoo ,lait angetaka nuru ya allah bhc angeendelea na kazi ya mwenyez mungu
2026-05-01 05:46:36
11
kalmada25
kalmada :
Mungu akupe mwisho mwema
2026-05-03 17:36:36
7
princezash1
SMS :
kukuwa sheikhi na kufunza dini ni kujitoa na mwito ya mwenyezi mungu ila sisi binadamu ni kiumbe dhaifu sana na wala siwezi mkejeli huyu ndugu yangu mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema 🙏
2026-05-03 18:15:26
8
mzungumeki
MEKI MZUNGU :
Allah atujalie mwisho mwema😭😭
2026-05-01 22:28:19
6
dijasay
💞Tatlim❤️‍🩹 :
mashallah allahuma barik
2026-05-01 11:33:15
5
phaza31
nganje@4 :
Hana imani
2026-05-01 04:08:51
17
akramhamisi363
akram :
mungu kasema. inaa laahaaa maa swabirin bas umekosa subira
2026-05-01 17:39:25
7
khai06375
@khai :
duuh had thanawi umemaliza mashaallh 🥰
2026-05-01 08:22:37
17
mahuwileabdallahrashda
rashdamahuwile :
M.Mungu awajaalie Khery hii kazi y DINI ngumu sana, inataka SUBRA ya juu sana tunaojua maisha y Masheikh maostadhi tunayajua maisha yao hususan vijijini ni msiba
2026-05-01 16:33:55
17
kilangkakuyusuf
kilangkakuyusuf :
story imenihuzunisha sana
2026-05-14 19:32:42
5
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About