nilimwambia allah akupe hitaji la moyo wako 😊kisha nikaondoka kwa kusmile☺️asaivi ananitafuta😅
2026-04-30 20:15:32
24
Mahir 🏝🇹🇿 :
wanawake, cku zote wako loyal to their feelings and not us
2026-05-01 06:33:30
18
ZAMZAM BEAUTY 🥰🤩😍💞💘 :
💔💔💔💔😪😪😔mapenzi yanauma mungu atustiri
2026-04-30 21:15:20
6
Cuteinty87🧚🏼♀️🇹🇿🇾🇪🇴🇲 :
Nilipenda kwa dhati lkn aliniacha wallah sikuuliza kwanini umeniacha....wacha tuu sie wengine siku ziende tutawapata Jannah inshaallah 🙏
2026-04-30 20:16:11
6
zakati :
Mashallah jaman me ata sijawah kuwa kwenye mahusiano jaman Nasubiri Mda Wangu ukifika Huyo Mungu Atakae mleta insha'Allah bas Ananioa Moja kwamoja insha'Allah 🥰
2026-04-30 20:34:08
6
Bae khay 20 💕😍 :
Mungu atakujaaalie tupate wenye kheir na ss amiin🙏🙏
2026-05-09 12:30:22
1
simba :
maneno mazito sana
2026-05-02 19:08:32
1
Nasra Ali :
Napenda sn mashairy yko ynafunza sn n yanahekma ndani yke mashaallah Allah akuzidishie umri taweel n akupe nguvu n afya njema n furaha ktk familia yko inshaallah Allah akubarik🤲🤲🤲amin🥰🥰🥰🤲
2026-05-14 10:28:40
1
@ummy ima :
wanatuacha kwa sababu tunawapenda sana napia wanatupa funzo kuwa tuishi kwa ajili ya Allah nasio kwa ajili ya wao
2026-05-01 17:27:20
5
user90952761231 :
Exactly.
2026-05-17 11:39:37
1
BURHAN :
Ya nini yotee sasa hayoo na ushaa achwaa
2026-05-22 17:30:10
1
𝖏𝖚𝖒𝖆 𝖘𝖍𝖆𝖇𝖆𝖓𝖎 𝖘 :
nimelia tena 😢😢😢
2026-05-01 21:45:21
1
sofia.sofia179 :
nimemwambia namuachiya mungu
2026-05-01 05:04:25
2
veteran punity :
الحب داء لا دواء له 😁
2026-05-06 15:31:27
1
official seoja❤📷📸 :
ila kakaaaa unajuwa mashaallah😂😂😂 asante kutufunza
2026-04-30 20:07:59
3
Didaaliha :
Allah barik👌
2026-05-01 20:00:37
1
MRS RJ :
Shukran
2026-05-01 21:44:17
1
zuu :
moyo wakupenda ulishaondoka nipo mwenyewe 😄
2026-05-01 21:20:56
1
Last Born 001 :
Ma shaa Allah 🥰
2026-04-30 20:25:26
2
🇹🇿Abdulhameyd🇸🇩 :
Akhy🥰
2026-04-30 20:23:41
2
MRS RJ :
kaka hapo Kwnye heruf sasa mm nashindwa kubadili na kusahau herf
2026-05-01 21:47:30
1
Black Beauty..🦋 :
mungu atujalie pepo tukakutane na mahurulain🤲🤲😍😍😍
2026-05-07 12:14:07
1
Suleha🥰 :
ni kwel inauma sana kumpenda mtu naunaona anakupotezea tu
2026-05-01 17:43:49
1
ᏒᎥᎧ ᏰᎧᎩ💯 :
I'm imepita iyo
2026-05-01 14:01:20
1
Zuu ayoub :
Sw
2026-05-01 01:03:56
1
To see more videos from user @alreyamiytz, please go to the Tikwm
homepage.