@abdulazizielajemi: Vifo vya Jamaa zetu, ndugu zetu vilitosha kutukumbusha kuwa Dunia sio sehemu ya kukaa milele,tujiandae na maisha baada ya Dunia ndugu zangu.Turudi kwa Allah tumtake msamaha. 🎙️ sheikh Hamza mansoor ✨Follow ili kujifunza uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo ✨FOLLOW ✨ @guide_qalam @islamic_rihla @Ulimwengu_wa_kiislamu