@abuu_naufal: ALLAH ATUPE THABAT KATIKA DINI ATUDUMISHE KATIKA KUMTII YEYE MPAKA MWISHO WA UHAI #abuu_naufal #salafiyyah #التوحيد #رسول_الله_صلى_الله_عليه_وسلم #fyp
Wallah hakuna atakacho pata isipokuwa ni kile Allah alicho mwandikia tu Allah atuongoze kwa ste amin yarabi
2026-05-01 11:43:18
38
Sokoni Spices & Herbs 🌿 :
Niliangalia hii nikasikitika sana nikakumbuka Kauli ya Allah tabaraka wataala
{ بَلۡ تُؤۡثِرُونَٱلۡحَیَوٰةَٱلدّنۡیَا * وَٱلۡـَٔاخِرَةُخَیۡرࣱ وَأَبۡقَىٰۤ }
2026-05-01 16:07:45
7
abizo brown :
Allah usizipoteze nafs zetu,baada ya kuziongoza😢
2026-05-02 03:56:18
7
Wolf 🐺💀 :
tumuombe sana Allah azidumishe nyoyo zetu katika twaa yake
2026-05-01 14:02:33
12
hashfar🥰 :
Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema
2026-05-01 20:25:54
6
Abuu khalil :
mwenyewe anaona sifa
2026-05-01 18:11:05
6
Azizi_fashion_45 :
Niliangalia hii nikasikitika sana nikakumbuka Kauli ya Allah tabaraka
{ بَلْتُؤْتِرُونَالْحَيَوْةَالدَنْيَا * وَأَلَاخِرَةً خَيْرٌ وَأَبْقَى }
2026-05-02 03:59:16
9
Al-Jazeera Agri store :
Tawfiiq ipo kwenye mikono ya Allah.... tumuombee hidayah na mwisho mwema na sis pia
2026-05-09 06:30:13
3
ابليتني بالعشق ثم تركتني💔 :
Tuombe ane mwisho mwema Allah atuongoze kwa sote natumai kwa Sasa Ina weza kua Bora kwake kwa watu walio sikia na wenye uwezo Inshaallah Waka mshika mkono
2026-05-01 22:33:00
4
Husamu Mbogo :
nimependa nipate muendelezo wake
2026-05-01 12:18:49
2
abuu nuaymu :
Allah ATU ongoze
2026-05-03 07:06:44
1
user7093457408365 :
nimelia😭😭
2026-05-03 06:34:45
1
abuuzakir :
amin
2026-05-01 19:52:11
1
hassan$ :
Subuhanallah
2026-05-16 17:53:13
1
abuusuhayb :
ameen yaa rabb
2026-05-01 17:46:27
1
sasakeymontana256 :
Allah Akbar ❤️❤️❤️
2026-05-01 09:54:36
2
ABDI 23 ✌️ :
kusoma na kuwa shekh ni vitu viwili viko tofaut hii nahs ata sie tunaosoma tunakosea sanaa kufananisha hv vitu kuna kusoma kutakusaidia ww mwenyew bila kujikaribisha kwa mashekh
2026-05-01 15:03:14
0
Adnanjanuzajfromzanzibar :
Amin
2026-05-01 15:49:44
1
🦋Nawar🦋 :
Ilikua aje mzee chilo awe peke yake asipate mwenzie allah atuthabitie nyoyo zetu katika dini 🥺