@muhammadalhaidar69: #tiktokgermany🇩🇪💯 #tiktoknairobi #foevryone #fyp #somalitiktok

MUHAMMAD ALHAIDAR
MUHAMMAD ALHAIDAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 09:55:13 GMT
135370
21315
3298
1046

Music

Download

Comments

user3996270661348
SHOTOKAN KARATE 👊 KISAUNI :
Ameen rabby Ameen 🤲
2026-07-16 05:20:48
0
user45614527635443
user45614527635443 :
yarabii nijalie mwisho mwema niendole kila dhikii zinazoo nisimbu nijalie baraka na rahma kwa kila ninalo fanyaa
2026-05-01 13:55:41
183
user5939126113395
user5939126113395 :
Yarabii nijaalie magumu ninao pitia yaondoke yarabii naomba nijaalie wepesi kwenye maisha yangu kila lenye kheri amini inshallah
2026-05-01 20:32:24
61
minaah_og
minaah og :
yarab naomb nijalie mambo yang yafunguke na pia nitunzie wazazi wangu wape maisha malefu inshallah na pia nitunzie binty yang nikuzie vyema inshallah na pia nijalie nielewane na mwana ume wangu tuwe sawa tuishi pamoja inshallah nipe liziki inshallah niondoshee watu wabaya King inshallah 🤲
2026-05-03 07:23:18
56
leahqcute
leah :
yarabii nijalie mwisho mwema, naomb unijali kujua kitabu chako kitukufu, naomb ufungue milango yangu ya riksi mim na family Yangu 🙏
2026-07-16 10:32:18
0
user9818078061197
user9818078061197 :
ya Allah naomba unipee pesa nimalize nyumba ya mamangu na nianzishe biashara yangu
2026-05-01 20:21:38
13
hamob135
hamob :
ya rabb nijalie mapenz ya haki 😭😭😭
2026-05-01 16:45:32
25
saksena1010
Saksena10 :
yarrab nijaalie kila ninalokuomba na uniondolee vifungo maradhi nuksi mikosi na kila vizuizi viondoshe. naomba ulinzi wako kwangu na familia yangu
2026-05-30 05:58:23
11
yohanakosmas301
Yohana Kosmas :
yarabi kupitia dua hii namuomba kanifungurie milango yakazi ikafunguke kwangu pia niepushiie Shari nauadui nahusuda amen
2026-05-01 21:26:11
12
kismaty4
Maman Daniella ✂️🪡🧵🧶 :
yarab utajaliye mwisho mwama
2026-05-17 06:13:38
8
user9861050571617
Nooryn Modrick :
yarab nakuomba utujaalie waislam wote mwisho mwema na kheri za dunia Amiin
2026-05-01 17:17:33
23
shansiiahmustapha
Shansiiah Mustapha :
yarab naomb nilind n vitu vibaya m n mtot wang tumbon pamoj n mme wang eeh molaa naomb ulinz wak kweny maish ang m n familia ang
2026-05-01 17:41:31
9
zaibrahcada2
zaibrahally :
ya Allah naomba unijalie mwisho mwema na pia unifungulie rizq ya halali kwa kunipatia kazi yarabb allahumma amiiin
2026-05-01 19:39:46
13
user.mwajjy
mwajjy cute💔💋❤️‍🩹 :
ya Rab nijalie mwish mwem na unip mum mweñy kunieshm na kuswal
2026-07-06 20:58:48
2
user6552399904176
sukina zamazani :
ya Allah nijaliye mwicho mwema
2026-05-01 20:59:11
5
mimah_ommy
Mimah_Ommy :
amiin amiin
2026-06-02 10:11:42
4
user6510217482688
malih@🥀og45 :
amiin ya allah rabby alamina
2026-06-02 05:26:27
3
papajnr501
papajnr23 :
Amin thumma Amin 🤲🏾🤍
2026-05-04 20:37:11
2
lukumani72
Luqman :
Amiin
2026-05-19 19:07:40
2
s43743
sᴀʜɪᴅᴀ :
yarrab nakuomba nipe liziki yakukuaa niweze mjegea mama yangu jumba🤲
2026-06-01 22:58:05
2
user4325295981877
Mama samia❤️💫 :
yarrab nijaalie mume bol amina
2026-07-06 17:19:45
1
upudo80
Upudo :
eemola nijalie kazi nzuli 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
2026-06-09 13:42:23
1
katelephone367
DIda ka telephone :
mwenyezi mungu naomba nijalie nipate watoto mapacha
2026-06-18 12:08:41
1
user8807806301338
emmy mshana :
nijalie amani katika ndoa yangu yarab
2026-07-13 22:02:32
1
sixxxsplanet
Sixxx’s :
I need wealth money
2026-06-19 15:50:56
1
To see more videos from user @muhammadalhaidar69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About