Mungu mpe maisha marefu mume wangu yeye ni muhimu kuliko nyumba nikiwa mwenyewe wala sioni umuhimu wa iyo nyumba wala siwazi ilo
2026-05-19 21:57:56
73
Samwel Matonange :
ACHA KWENYE UMILIKI FUNDISHA JUU YA NINI UMECHANGIA ILI TUMILIKI PAMOJA.
2026-05-01 14:22:11
54
Jacklina83 :
Namshukuru Mungu kwa huyu mmewangu kila kitu tumeandika majina yote ya kwangu na yake kila kitu cha maana,Gari na kiwanja na nyumba nimajina yetu wote🙏
2026-05-01 14:05:05
83
linda :
Kuna Mimi ananunuaga kimya kimya najuaga akiwa anauza!!!!!🤣🤣
2026-05-02 03:57:22
39
_.itc_zoyah :
Wana watoto wao nje dada ndio mana wanafanya hivyo ili wakiondoka duniani watutengenezee vita na mahawara zao
2026-05-01 17:21:21
29
Alexander Ndolo Kilele :
Please look for your own and put your own money. Focus on your own goals and invest your own money
2026-05-03 16:56:42
8
Prince Charming 🏆 :
Ilo Gari ni lako au Ni la Joint Occupancy Share 😁😁
2026-05-02 03:15:00
19
Goliath Mfalamagoha :
swali kwako, vip akiandika majina ya watoto?
2026-05-01 16:12:48
19
Sarah :
ok,sorry hizo prove nazotakiwa kuwa nazo kwamba nilichangia mali hizi ni pamoja na risiti na documents zote za malipo?
2026-05-01 10:27:09
22
jasmine milanzi :
alafu kuna sisi tuko wake wawili apo sasa cjui zangu ngapi na mwenzangu ngapi
2026-05-01 14:16:56
11
Ryomen Sukuna :
Mnanivuluga, kwani as long as mmeoana tu, si imeisha hiyo, mali ni 50 by 50
2026-05-01 18:41:58
6
mom Asha :
je? kwa mfano mimi kabra ya kukutana na mume wangu wa sasa nilisha zaaga watoto wengine nikitangulia kufa mimi je watt wangu watapata chchte?
2026-05-01 16:15:07
7
njap :
kwanini mnaanza kupigia hesabu Mali wakati mmeamua kuishi wote? au mpo kwa ajili ya kujimilikisha Mali?
2026-05-04 04:22:48
13
user86850709853600 :
wanawake tunaumizwa sana kwa upande wa hati
2026-05-02 14:10:53
6
COLLIN BEY :
WE NIDA YAKO INASOMA JINA LA MMEO😅
2026-05-01 21:41:37
7
Ruqia Isaac mussa :
mwache aandike majina yake kweny Mali yake nawe ukipata Yako andika majina Yako wanaume wanayo ubinafs sana sana
2026-05-01 20:42:34
6
Mohamed Hussain :
2026-06-09 10:52:56
2
Angel Zacharia66 :
mm nilishapoteza mme ambae ni baba watoto wangu nilimkuta na jina lake to la ukoo tukatafuta pamoja shamba la heka 4 viwanja 2 kimoja tukajenga pikipiki 2 lakin vyote viliandikwa kwa majina yake tulipoachana kauza kila kitu km ananikomoa vile nilipambana ili nipate haki ya wanangu lkn ckufanikiwa kwa msaada wa familia yake kunizuia nikamuachia MUNGU bwn GOD anajua kumjib mtu saivi hana ht nilivyo mkuta nae yaan heshima kitanda godoro baickel kabaki na oroza ya wtt to ila MUNGU akanipa Aman nikapata zaid ya nilichokipoteza na mme wa kunithamin
2026-07-22 08:00:01
1
Pro-humanity :
sasa mbona husemi mke akifa? yaani mali zote achukue mke wakat mm nina wazee na watoto
2026-08-27 03:31:44
2
Kissetu :
Asante dada kwa busara zako za kufundisha jamii
2026-06-23 00:22:16
2
Masingisa :
naongeaga vzl mpk nimekupenda jmn mungu akupe umli mlefu nije nikuone karbu