@juice_asilia: Detox Nzuri sana hii, hasa wakati wa Asubuhi. Kama unajisikia ni mzito, tumbo linajaa gesi mara kwa mara au unataka kuanza siku ukiwa fresh kabisa, hii combo ni pambe kwako. Viambato: Tango 1 Green Apple 1 Limao 1 Majani ya mnanaa(mint) baadhi Ni simple tu lakini matokeo yake utayaona kama ukiwa na mwendelezo (consistency) Like, follow na comment ili usipitwe na mambo mazuri kama haya. #detox #cleansingdetox #foryou #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

juice_asilia
juice_asilia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 10:21:10 GMT
74227
1076
13
211

Music

Download

Comments

ant.k30
Ant K :
usipochuj Kuna shida yytee
2026-05-10 02:14:14
0
mama.hannan1
Mama Hannan :
kama sina green apple kuna shida yyte???
2026-05-13 06:45:10
0
kim.mam2
Kim mam :
unawek sukari
2026-05-10 07:10:44
0
sheymo62
sheymo :
ukimenya limao unatoa mbegu zote au
2026-10-06 17:11:37
0
tj.kassanga
Eternal madame :
haya dear nijibu sumu zinatokaje??.. kwa kukojoa ,kujamba,au kuharisha??
2026-05-14 12:11:18
0
mariamsindwani
mariamsindwani :
mjamzito anaweza kutumia?
2026-05-13 08:30:50
0
jina.love4
Shara beiby🦋OG :
unaweza kuhifaz kweny frig?
2026-05-11 14:51:49
0
ellamichelle487
ellamichelle :
😂😂😂
2026-05-09 10:39:08
1
To see more videos from user @juice_asilia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About