@zbc_zanzibar: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuongeza kwa kima cha chini cha mshahara kutoka Shilingi 300,000 hadi Shilingi 500,000 kwa watumishi wa serikali . Utekelezaji wa uamuzi huo utaanza katika robo ya tatu ya mwaka mpya wa fedha. Aidha, Rais amesema nyongeza za mishahara zitahusisha ngazi zote za wafanyakazi, kulingana na taratibu zitakazotangazwa baadaye. Katika hotuba yake, Rais Mwinyi amewapongeza wafanyakazi kwa mchango wao mkubwa katika ukuaji wa uchumi na ongezeko la uzalishaji, na kuahidi Serikali kuendelea kuboresha maslahi yao hasa wafanyakazi wanaohudumia vijijini na visiwa vidogo kwa lengo la kuongeza ufanisi wa kazi. Vilevile, ametoa wito kwa wafanyakazi kuendelea kufanya kazi kwa bidii, nidhamu na uzalendo, ili kuchochea maendeleo endelevu ya Zanzibar. Rais Mwinyi ameyasema hayo leo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika Dole, ambapo alikuwa mgeni rasmi. #ZBCUpdates

ZBC Zanzibar
ZBC Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 11:11:33 GMT
6303
218
14
31

Music

Download

Comments

charmy.girl39
charmy girl :
Asa veep kuhus campun wanazo miliki hospital na wao wataengez mshahara ? au ni kw wafany kaz wa serikal tuh
2026-10-21 14:09:08
0
midd795
Keys :
Mashallah Tabarakallah Rais wetuu kwa kutuona wananchi wako, hio ndio inaitwa kuongeza, sio mtu anaongeza kiduchu, Allah akuweke akupe Umri mrefu wenye Afiyah Raisi wetu🙏🙏🙏
2026-05-01 11:29:34
7
othmanibakar3
K@K@ M@n :
asant baba tunajivunia kuwa na wewe kiongozi bora 💕
2026-05-05 09:34:07
0
alkharus17
꧁AL KHARUS 17꧂ :
500,000 huongea Kwa maisha ya sas
2026-05-01 15:20:40
0
user4423613429515
Mchanga Omar :
hongera babaaa
2026-05-01 13:07:43
0
himdatdumilayunus
Himdat Dumila Yunus :
ma shaa Allah
2026-05-02 05:35:05
0
sedasimon82
Bint mapozi :
hogera sana
2026-05-01 13:49:06
0
rahmal50
@Rahmal50 :
weweeeeeeeh🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-01 13:09:55
0
samirshehe
سمير موس👨🏽‍✈️ :
Wanalipa 500k no food no water how could us survive
2026-05-02 10:42:43
1
shabari433
Hamis Masud :
ajira sas zitoke kwa wingi
2026-05-01 12:17:26
3
nairyn66
nairyn :
private jamani tumbeeni pia
2026-05-04 18:18:36
0
rayamitumba
Raya👗🛍️ :
Serikalin tu au sehem zote 😳
2026-05-01 14:20:29
0
mr_.alpha06
Mr Alpha :
hahaha crazy
2026-05-01 12:14:09
1
seiyn25
Sein khan :
🥰🥰🥰
2026-05-01 11:56:13
0
To see more videos from user @zbc_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About