zaburi 44:3 mkono wa MUNGU ulinisaidia
zaburi 45:12 watu wakubwa watoa vitu kwaajiri yangu..
kutoka 3:21 napata kibali mbele za watu
MIMI NINAKIBALI KWA JINALA YESUU🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🥹
2026-05-01 20:50:25
30
faith✌ :
pasta nisaidie mwanangu hataki kunyonya nimejifungua tarehe 21 mwezi wa nne mwaka huu, ni siku ya 12 sasa