@mchagaa1:

BABA.MCHAGAA MLIMWENGU
BABA.MCHAGAA MLIMWENGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 11:54:35 GMT
19082
824
107
152

Music

Download

Comments

user72614372424944
smm :
yesu anakusubili hata kwa haya usemayo bado anakupenda okoka uludi yehova ni mwenye upendo na huluma
2026-05-01 20:18:00
12
mchagaa1
BABA.MCHAGAA MLIMWENGU :
mmi nipo sambamba na wafia dini wafikiri kwa roho mpaka mutoe maelezo yakutosha kuhusu huyu Mungu wenu
2026-05-02 04:25:18
10
tbagkipara
T BAG KIPARA :
hizo stories za mungu havina mashiko kwenye kizazi chetu Cha sasa mababu zetu walitukosea sana
2026-05-02 10:57:52
17
wa_uvunguni
WA UVUNGUNI*️⃣🔦🔦 :
Hata mimi hanichomii😂
2026-05-02 08:07:13
7
farboy38
farboy38 :
hata mm hanichomi
2026-05-01 18:45:09
8
selemanihussen
selemani maliva :
hata mimi hanichomi tutabisha nae sana
2026-05-16 17:07:49
3
ev.nelson.korigwa
ev Nelson Korigwa :
MUNGU hakutaka kuabudiwa kwa woga. nafikiri unahitaji kujifunza zaidi kuliko dhihaka
2026-05-06 14:54:59
0
vee.honest3
Vee Honest :
Hata mimi hanichomi aiseee😂😂😂😂
2026-05-03 08:27:16
5
mkatoliki_wabei_ya_jioni
Vin_Joh :
Swali nnalojiulizaga sana hata mm
2026-05-02 12:46:08
4
omykara222
omy boy 🏝️🏝️ :
mungu anajua ambayo sis hatuyajui
2026-05-26 06:23:35
1
yohana.damas03
Yohana Damas :
Mungu akusamehe broo
2026-05-12 17:59:18
0
obedjamel
Obed Jamel :
Mungu anakupa nafasi ya kuchagua pia hilo jina unalotamani ungemuita tu hana shida atakusamehe
2026-05-03 04:41:44
1
jamesmwakasita
james mwakasita :
mwanangu umejikomboa sana, na kweli zile ni hadithi
2026-05-15 17:53:46
2
smartboymuki
Smart Boy Muki :
Hata mimi hanichomi
2026-05-01 21:06:36
4
user45473050921298
sizala org :
mimi ahanichomi amushindwe yeye alafu aniletee mimi alafu pia mambo yayakunipa hatia ambayo sina eti nilizaliwa na zambi nilokasa kosa gani tumboni
2026-05-25 20:44:53
1
meditation437
only true :
mungu wa kwenye vitabu sio yeye mungu
2026-05-04 11:59:58
4
essahbeatz_og
EssahBeatz OG :
😂😂😂Kumbe unaakilii🔥🔥🔥🔥
2026-05-02 07:14:11
2
user7110023581114
user7110023581114 :
Ongeza uwezo wa kufikilia utapata jibu, ni Mungu yupi unae taka akupe majibu
2026-05-02 01:35:52
1
diahquan
DiahQuan :
😁😁😁Kumamae nimecheka kwa nguvu😁😁😁
2026-05-03 13:13:18
1
engmrefu
MD19181992 :
😄😄😄unajua kwanini nacheka?
2026-05-02 15:17:42
2
user6781818248199
safari :
safi
2026-05-02 10:34:45
2
imanimakishenew
IMANI GLASS WORKS 👑 :
ni vichekesho😁
2026-05-01 18:40:06
3
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Hawajielewi
2026-05-01 19:33:36
2
richardkp981
Richard Kp :
hio Samsung Galaxy A05 inakuponza
2026-05-05 19:47:18
1
dynamicmwakibinga
Dynamic Mwakibinga :
hanichomi
2026-05-01 21:06:14
1
To see more videos from user @mchagaa1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About