@islamic_rihla: Mara nyingi migogoro haiji kwa sababu ya chuki bali kwa sababu ya kutoelewa tofauti zetu. Kila mmoja ana namna yake ya kufikiri na kuhisi na pale tunaposhindana badala ya kuheshimiana, ndipo maumivu huanza. Ukiheshimu tofauti, ndipo maelewano huanza. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED ♦️Kama ujumbe huu umekugusa, basi usiishie hapa… follow Islamic Rihla upate mawaidha yatakayobadilisha maisha yako. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #dawah #islamicvideos #allah #quran