introvert na content!!? basi mm ningekua maarufu sana 🙌 Nina content nzuri kichwani but when it comes to start filming myself and post on social media 😔 no no noooo I feel shy
2026-05-02 22:12:49
8
middle :
introvert mbele ya camera, hii ni maajabu
2026-05-01 18:24:54
55
mchomanga :
wew umeathiriwa na mazingira,introvert wanapost video zao wanafuta hapohapo kuhakikisha watu hawajaona
2026-05-02 13:07:34
30
Enrique Tyrese :
Trust me, wewe sio Introvert 📌
2026-05-19 14:44:45
5
Janes’thrift :
You are not an introvert bro
2026-05-01 23:18:05
6
Ms.BINNA_255🇹🇿 :
hiyo sio introvert ni child hood trauma mimi pia napitia hali kama yako but I'm trying to heal
2026-05-01 21:04:26
11
mkushi :
nan alikwambia ww ni introvert
2026-05-02 09:11:03
9
KIBOKO 🦛 :
INTROVERT KWA NINI AKISIMAMA MBELE YA WATU WENGI ILI AONGEE ANAKUAGA VERY CONFIDENT
2026-05-01 19:32:31
14
Qalb_Noor🌸 :
Introvert hajizagaji social media
2026-06-14 08:56:33
1
Wolfgang :
au sijui maana ya introvert😂😂😂
2026-05-02 19:32:05
6
altar :
mm ni introvert lakini nina video kwenye simu humu nguvu yakupost sina nyie mnafanyaje wenzangu mm naonekana usiku tu km bundi mnifundishe jamani
most of people wanashindwa kutofautisha aibu na introvert jamani introvert akiwa peke take vitu anavovifanya vinashtusha you can't believe so it's okie mkiona introvert kwenye camera ni kitu kinachowapa furaha wakiwa pekee wanafanya wanavojisikia,that's the way we are...
2026-05-02 17:24:43
5
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
tupo wengi mkuu💯💯
2026-05-25 03:32:49
1
Zuuh_Samo..💞🧕🏻 :
Ad nawaza nikiolewa sijui itakuaje..🥹🥹
2026-06-05 20:07:49
1
Dazzle_Dealsstore :
introverts tangu lin akajielezea😃😃🙌🏻
2026-05-04 11:13:55
0
ghgg :
Introvert unajirecord unatuma tiktook
2026-05-10 16:29:41
5
DreChitto :
Kaka tumechoka kujielezea..We love our quiet time na hamna kitu mnatufanya😂
2026-05-02 18:48:18
4
OCHALYA✝️🇹🇿&🇰🇪 :
Wagwan 🫂
2026-05-01 19:37:51
4
To see more videos from user @heislascouh, please go to the Tikwm
homepage.