@ujenzi.connect6: #tanzaniatiktok #dodoma #kenya #canada #canada

ujenzi_ conect _Decoraction
ujenzi_ conect _Decoraction
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 14:35:12 GMT
60293
947
16
182

Music

Download

Comments

casablanca_255
Casablanca :
hizo space za kotempo kwa baadhi ya mikoa Tz inaweza kuwa ndio makazi na mazalia ya ndege mf Marabou stock, yange yange, na baadhi ya ndege wanaotengeneza vichali vikubwa inaweza kua chanzo cha kuziba mifereji ya maji na kusababisha nyumba kuvuja. nafikiri bati ikishika kuta kwa "bending style ukutan" bila kuacha space ni nzuri zaidi. NB nyumba za hidden roof ni nzuri zaidi na inapunguza budget ya mbao na bati.
2026-05-04 12:00:09
7
golddady.m
Golddaddy :
hii ndo nzur
2026-05-01 17:19:59
2
mtui284
Mwl. Riziki Mtui :
Hii mi nzuri sanaaa
2026-05-01 17:20:51
2
ibrah8smartboy1
Smart boy :
nakubali kaka
2026-05-04 13:00:13
1
yusuphjulius
BUPILIPILI :
hii gharama yake kubwa sana mze
2026-05-08 18:24:57
2
officebrandtz
officebrandtz :
mmeona hapo juu hiyo plaster ilivyonyooooka kama rula🙌🙌🙌🔥
2026-05-01 21:00:34
2
flowgenious111
flowgenious :
mambo ya haiden roof 😂💯😂
2026-05-03 02:01:53
3
the_real_lukelo
Sir. Lukelo Mallumbo :
mitaro haitahitaji water proofing? mimi sio fundi lakini kuna cases naona veranda za kumimina zinashika fungus kwa ndani
2026-05-03 08:48:08
3
hov3738
ismart electronics :
namba za fund naonba
2026-05-02 01:20:38
3
dicque88
_dicque88 :
Nyie ni zaidi ya nyie wenyewe 💪💪💪💪 mko vizur
2026-05-01 18:46:06
1
denismoshi.pyc
memoo.py :
Sijui kizungu lakini haiitwi hyden banaaa
2026-06-01 16:51:10
0
To see more videos from user @ujenzi.connect6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About