@zyne514: janeth na kujiamulia mambo🥺😩🤣 #swahilitiktok #ticktocktanzania🇹🇿🇹🇿 #maishayachuo #fyppppppppppppppppppppppp #wanachuofamily

@Zyne🎀🦋
@Zyne🎀🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 15:40:35 GMT
3594252
211280
2055
5763

Music

Download

Comments

:
10/10 nalipa chapu
2026-05-01 19:01:41
6
:
da Janet hakomi😅😂😂😂🙌
2026-05-01 15:53:54
152
:
nafatilia story yako kuliko mahusiano yangu naomba upost ndefu pls 😩
2026-05-01 16:52:56
982
:
Mhhh hii imeniuma mzazi anatafuta hela kwa shida 🥺🥺🥺
2026-05-01 17:41:56
448
:
Yaan Janeth anaenda Fashion mpka raha👌🥰🥰🥰
2026-05-01 15:55:08
1411
:
Ila. Jmn. Wazaz wetu. Tunawatesa 🥺
2026-05-01 19:33:51
933
:
daaaah Yan huyu babake janeth...😭😭
2026-05-01 18:26:12
28
:
roho imeniuma baba janeth 🥺🥺
2026-05-01 21:07:02
12
:
inabid nikufollow 2🥰😁
2026-05-01 16:43:48
5
:
nimewaonea huruma sana wazazi wa Janeth
2026-05-02 10:26:14
24
:
Not the parents🥹💔
2026-05-02 07:17:46
15
:
Naipenda hii story kuliko kula 😂
2026-05-02 09:55:35
36
:
Amesuk vizuri 🥰ila nimeumia baba kutuma hela 😢😢
2026-05-01 19:14:44
26
:
Ila wazazi mungu awatie nguvu tu jmni
2026-05-03 16:01:09
7
:
Hii ina uhalisia wa ki Tz kabisaaaa✌🏽🩷
2026-05-02 18:19:20
7
:
Ila Mubaba😀😀wababa wa ovyo
2026-05-03 19:32:20
6
:
Ila Nono sio rafiki 😁
2026-05-01 17:03:30
8
:
🥰🥰🥰jmn hii story ni mzur
2026-05-01 18:25:02
11
:
Guys tunawatesa sana wazazi wetu 🥺💔 tamaa hazina faida yoyote kila mtu aishi kwenye uhalisia wake🙏
2026-05-02 12:16:10
102
:
Hiyo backless dera 🥰🥰😅😅
2026-05-02 05:25:57
14
:
ila Janet umenishinda tabia
2026-05-01 20:31:09
6
:
nimewahi leo 😁
2026-05-01 15:47:05
14
:
Mamae bills za Zanzibar 🙌🙌🙌🙌
2026-05-01 21:30:15
5
:
baba janeth 🥺
2026-05-01 19:45:14
7
To see more videos from user @zyne514, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About