@nyebowsa_media: Freestyles battle bado inaendelea Leo tupo na mtoto wa baba @maarifabigthinker #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #Maarifa #rapradar

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 01 May 2026 16:48:17 GMT
127138
10672
357
199

Music

Download

Comments

travis_recker
travis_recker :
baada ya dizasta vina kuna maarifa staki ushauriii 🫡🤝✍️
2026-05-02 09:43:16
90
vadidy.boy
vadidy⭐️ :
kawaida sana bhna anaimba kawaidq mpaka anatoka mda mwingine kwenye beat
2026-05-01 19:42:14
35
the.eagle244
Azmir Zanzibar24🇹🇿🦅 :
huyu mwamba hatari mamee
2026-05-02 04:55:22
40
jaywolf701
Jay wolf 🐺 :
watu wanajua ila MAARIFA ANAJUA ZAIDI ✍️✍️✍️
2026-05-02 14:40:26
18
meshackrutakwa0685398546
Meshack Rutakwa :
mtu Mwenyewe anatoka kwenye beat
2026-05-02 11:40:43
9
malone6ixty4our
malone-64 :
haujui banaa
2026-05-02 04:51:43
14
young.niger.tz
young Niger Tz :
lunya asamehewe jaman maarifa kibaa ajengewe sananamu🙌
2026-05-01 17:42:44
35
sharifu797
SHARIFU ROBERT :
Aya ndo maarifa SASA
2026-05-02 05:48:38
16
jasmin.shaban5
Jasmin Shaban :
anajua sana ila humu kafanya kawaida sana maarifa
2026-05-02 07:39:18
9
kingstone0g
KîñgStøñê Øg 🍀 :
KIBAHA FINEST 🔥🔥
2026-05-02 09:59:54
11
khalidi7.7
Khalid77 :
naipenda sana Hip Hop🔥 Maarifa big Thinker
2026-05-01 19:10:55
12
barnababarack
son of reconciliation :
challenge close🔥🔥Only one hip-hop king KNOWLEDGE
2026-05-02 07:21:32
6
naxaking967
Naxa King :
tunaoelewa hip hop ndio tunaishi humu
2026-05-04 10:04:33
3
actress.family
vinny rapper :
30/30 nalipa chap tusaidiane 🙏
2026-05-04 08:59:54
2
routine.masoud78
Routine Masoud :
haujui bhn
2026-05-01 23:29:01
5
giant_boy1
GIANT BOY :
Bar's zimenyooka hatari 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-05-02 07:44:12
5
shedady255
shedady :
nakubali ,naitwa maarifaaah mtoto wa baba🔥🔥🔥
2026-05-01 17:19:52
7
eddanieladc
its_adc :
kawaida sana.
2026-05-03 08:43:04
0
jayvon03
jayvon03 :
nimeangalia mara Tisa (9×)🙌🙌
2026-05-02 08:29:41
2
soreziboy
sorez :
maarifa fundi sanaaa
2026-05-02 13:09:07
4
alexanderpetro615
Ndochumugani :
sijui nisemeje
2026-05-02 12:10:26
4
patrcosphat
FRS mweupe :
iiingoma naikuba siongoma namkubali uyu jamaaa sana
2026-05-02 12:19:28
3
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About