say it my mentor najifunza kwako jambo jipya kila siku.. i wish i could get a personal class and i believe one day i will sit opposite of you learning more about investing and every thing a want to 🙏🏻🙏🏻
2026-05-01 21:15:49
8
Judith collection 😍 :
fact
2026-06-14 18:59:18
0
timothdenis5 :
Miss wanda Asante we nimrembo sana hongera sana umependeza mno kipenzi, pia upo uzuri natural not filter.
2026-05-02 20:48:25
1
nasra omari :
asante dada mungu aendelee kukuweka
2026-05-22 06:03:48
0
Muhozi Nathasha :
Ukweli dadangu
2026-05-31 17:37:04
0
ladyG :
hauna group la whssp
2026-05-19 18:49:03
0
Shop~with~annie26 :
Wanda🥰🥰
2026-05-02 06:06:33
2
Best Boy :
That's Points
2026-05-02 08:14:17
1
: :
Siwezi vumilia kutokukufolow follow
2026-05-04 21:48:42
2
Reecollectionz :
thanks for s lesson
2026-05-03 18:17:16
1
sitifana1 :
Hii ya mwisho ya kwa sababu mtu hajakufollow umeizungumza katika jocks condition lakini kiukwwwweeeeli kabisaaa inatosha mara million% kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazobeba 90% ya kutokutajirika kwa mtu.
seriously!!!!
BINAFSI nasubiri tu muda wangu ufike.. siku nitayokutafuta kuja kua mgeni rasmi kwenye event yangu nikifurahia mafanikio nitakayokua nimeyafikia.
Na hii sio story wala just a comment. Its really!!
Nakuombea mno Mungu aendelee kukufanya kua salama na mwenye afya ili siku hiyo nisikukose hakika. Maana ushuhuda wangu hautowahi kukamilika ikiwa haumo miss Wanda!!
Bigup sana mamaa!!!
2026-05-08 16:49:10
1
Rey :
dada nitafutie kazi nakuomba
2026-05-03 20:42:20
1
user86947852301662 :
Asante dada nimejifunza🙏
2026-06-03 04:16:55
0
Fodestina Kasaja :
Hi dada tunaweza ongea
2026-05-16 12:15:05
0
Thomas :
salute 🫡 madam
2026-05-14 12:36:26
0
safi :
Merci
2026-05-13 13:27:43
0
shah#@workshop and bakery :
hhhmmmmm
2026-05-03 12:34:44
1
timothdenis5 :
pia nice content hapo kuwa ni MWEMA SANA umenigusa MIMI direct😂
2026-05-02 20:49:43
1
Revo0202 :
madam na hitaji elimu zaidi naitaji kuwekeza ila sijui Pakuanzia 🙏 naomba unisaidie
2026-06-16 17:19:20
0
hairsbystarry :
Dunia tupita 🤣
2026-05-02 21:03:51
1
MSHAMBA_255 :
boss,niruhusu kuja inboz
2026-05-01 20:04:45
2
RICHARDI JOBU :
naweza kuja inbox sister
2026-05-01 17:11:25
1
Bin Yaah :
ila na ww sizani kama nitajiri🤣
2026-06-03 11:33:59
0
Genious Refrigetion :
acha roho mbaya
2026-06-08 11:23:32
0
Verka :
👌👌👌
2026-05-28 17:29:49
0
To see more videos from user @destiny_dreamfate, please go to the Tikwm
homepage.